Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Kwahiyo bar kulewa nayo ni mizunguko ee ?
Ndiyo ni mzunguko Mwenye Bar atapata hela, wahudumu watalipwa mishahara na wao wataenda kutumia na familia zao. Kwa mangi, maduka ya nguo, saloon na vipodozi huoni hapo hela inazunguka ?
 
Kwa majibu haya , naomba twende wote tukafanye hiyo mizunguko tupate faida kubwa
 
Back
Top Bottom