Malkia wangu
Senior Member
- May 1, 2024
- 143
- 265
- Thread starter
- #101
Kiruu! Na umeniachia 20k kwa nyumba, naomba uibiwe hadi boksa uko kwa club .What has 50k got to do with it?A man should have loaded with wealthy before entering a club.🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiruu! Na umeniachia 20k kwa nyumba, naomba uibiwe hadi boksa uko kwa club .What has 50k got to do with it?A man should have loaded with wealthy before entering a club.🤣🤣🤣
Nina uhakika ndugu zako wakike wote ni matajiriJust leave her, and repent.
Yukh! Good luck with that.I won't!I'm used to the hard moments oftenly.
Kwahiyo ulitaka upewe 400 yote ukavihonge na vibeni 10 vy
Huwa sichepuki , mwili wangu sio jamvi la wageniKwahiyo ulitaka upewe 400 yote ukavihonge na vibeni 10 vyako
Don't puke!It's good.It's better to best,pal!😂😂😂🙏Yukh! Good luck with that.
Tafuta za kwako na wewe uchomoe 20 kwenye laki 4 umpe ukiwa na laki 4 wewe hata buku humpi kwanza hayupo kwenye hesabu zako hesabu zako ni kujitafutia makolokolo ya kujiremba ujingaHii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.
Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............
🤣🤣🤣acha tamaa na hela za biashara
Huwa mnawapa nafasi hiyo wake zenu?Kama ni rahisi na wewe utafute zako ili usilingishiwe
Don't puke!It's good.It's better to best,pal!😂😂😂🙏
Just leave her, and repe
They are all insured my love plus their mom/you!Need I add more?
Umeandika kwa hasira sana hadi sipati maana ya ujumbeTafuta za kwako na wewe uchomoe 20 kwenye laki 4 umpe ukiwa na laki 4 wewe hata buku humpi kwanza hayupo kwenye hesabu zako hesabu zako ni kujitafutia makolokolo ya kujiremba ujinga
Sicheki na Wanawake Wanawake ni nyoka wenye vichwa vingi 'Medusa'
Wanawake ni nyoka wenye vichwa vingi 'Medusa' sicheki na WanawakeM
Umeandika kwa hasira sana hadi sipati maana ya ujumbe
Kwanini mpo ivo lakiniNi nani huyo anaefanya makosa makubwa kiasi hicho? Kwenye laki 4 unatoa elfu 20? Ni makosa makubwa sana kwenye laki 4 toa elfu 3
Asinipe yote na asitoke nayo yote kwenda barWanawake ni nyoka wenye vichwa vingi 'Medusa' sicheki na Wanawake
Wewe ukitaka utamu wa Pesa tafuta zako uchomoe 20 kwenye laki 4 umpe mumeo uone km atasononeka ndio maana nasema nyinyi ni nyoka kabisa hujui hio 380 ni ya kazi gani eti umefura unataka 400 yote akupe wewe kwanini unakua nyoka kiasi hicho?
Wew usioe kwanza 😀Ni nani huyo anaefanya makosa makubwa kiasi hicho? Kwenye laki 4 unatoa elfu 20? Ni makosa makubwa sana kwenye laki 4 toa elfu 3 tu
Hela yake unampangia ipi atoke nayo na ipi asitoke nayo?Asinipe yote na asitoke nayo yote kwenda bar
Mahitaj gn ayo mtu akuachie 20 it means kwa mwez 600 mi ngekupga chiniMahitaji ni makubwa kuliko pesa inayoachwa , ila ngoja nitafute zangu sitamsumbua mtoto wa ma mkwe