Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Wanaume naomba mnijibu tafadhali

Ndo maana mkifa wake zenu wananenepa na kupendeza balaa
Sasa,mamaa Nangai,nyumbani kuna unga,mchele,tambi,vitoweo,mboga za majani na viungo kama vyote unataka nini tena?Na hela ya mwisho wa mwezi niliyoiacha hata nusu haijatumika.Wanawake huwa mna vituko tu mkiona hela ameshika mume.Mnataka mzimiliki zoooooteeee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.

Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?

Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.

Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............
Wanaume hatuachi hela, tunaacha kadi mama ajichotee mwenyewe anavyotaka akiridhika ajue yeye mwenyewe karidhika wapi.

Mimi nitajuaje atakachohitaji ghafla wakati sipo?
 
Sasa,mamaa Nangai,nyumbani kuna unga,mchele,tambi,vitoweo,mboga za majani na viungo kama vyote unataka nini tena?Na hela ya mwisho wa mwezi niliyoiacha hata nusu haijatumika.Wanawake huwa mna vituko tu mkiona hela ameshika mume.Mnataka mzimiliki zoooooteeee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Inauma maana najua unaenda kuwapa malaya
 
Sasa,mamaa Nangai,nyumbani kuna unga,mchele,tambi,vitoweo,mboga za majani na viungo kama vyote unataka nini tena?Na hela ya mwisho wa mwezi niliyoiacha hata nusu haijatumika.Wanawake huwa mna vituko tu mkiona hela ameshika mume.Mnataka mzimiliki zoooooteeee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwahiyo ni Bora ukahonge ?
 
Hii inawahusu wanaume sio wavulana.

Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?

Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.

Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............
Tafuta za kwako acha kulilia hela za mwenzako, ni kwa sabb ya wadada kama nyiny ndio wanasema ndoa ni utapeli, unataka akupe nying ni za kwako ?? Mmetafuta pamoja ?? Uchoyo tu muone vile
 
Poleni sana...

Wote mnapewa sawa, sema tafuti yake wewe unapewa kwa siku mwingine anapewa kwa mkupuo...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom