Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Umesema sahihi MkuuHao ni wavulana ndio wanafanya hivyo mkuu.
Mwanaume kamili akifika nyumbani anaacha pesa zake zote na kuzitolea maagizo kwa kila kiasi, then yeye ndie anachukua kiasi kidogo kwaajili ya matumizi yake binafsi kwa siku inayo fuata.
Kipaumbele cha kwanza familia
Unampatia wife kibunda chote kisha unamwelekeza, kwenye kile kiasi utachukua shilingi 50,000 utampa Mzee Moh'med kwaajili ya chakula cha Kuku
Shilingi 45,000 utalipia school bus ya mtoto
Haipendezi Mkeo kukuomba hela ya Matumizi Kwa Kila Siku
Kama una nafasi mpe ya mwezi mzima ili apange bajeti yeye mwenyewe