Umesema sahihi MkuuHao ni wavulana ndio wanafanya hivyo mkuu.
Mwanaume kamili akifika nyumbani anaacha pesa zake zote na kuzitolea maagizo kwa kila kiasi, then yeye ndie anachukua kiasi kidogo kwaajili ya matumizi yake binafsi kwa siku inayo fuata.
Exactly yaani unaacha hela ya emergence au ya vitu visivyokuwa na ulazima na hiyo hela sio lazima itumike kila siku.Mwanamme haitakiwi uache hela ya matumizi ya kununua vitu home bali hela kama akiba tu incase of emergency ,inatakiwa ndani kuwe na vitu vya kutumia atleast hata siku 3...vikibakia vya siku 1 kesho unaongezea...hela unayoacha ni kwa ajili ya m/ke kusave na kununua vitu vidogo vidogo ambavyo si vya ulazima etc muha kapitisha hereni/bangili wale tunauza mafuta mazuri ,rangi za ukili na "bangi hili".
Exactly yaani unaacha hela ya emergence au ya vitu visivyokuwa na ulazima na hiyo hela sio lazima itumike kila siku.
Ni maisha ya umaskini tu hayo kuna siku nilidamkia mitaa ya tandika kule mwembe yanga nikaenda shop kununua maji nikakuta mtoto katumwa kununua sukari vijiko 5 nilishangaa na kujifunza kwamba haya maisha yetu kuna gap kubwa sana la kipato na moangilio wa maisha
Usishangae mkuu kwamba mtu hana hio hela ya kununua hilo furushi la vitunguu na unga. Vidole havilingani mkuu! Kuna mtu kipato chake ni buku 7 kwa siku akitoa nauli anabakia na buku 5 ndio akabalansie mambo ya maskani.Utakuta mtu leo ameenda dukani kanunua nyanya mbili,kitunguu kimoja ,mafuta ya kupikia kibaba kimoja ,kesho anaenda tena kununua nyanya mbili,kitunguu,mafuta ya kupikia kibaba kimoja ,kesho kutwa hivyo hivyo wakati angeweza kununua tu nyanya 6 ,vitunguu vitatu na mafuta vibaba vitatu hizo siku mbili akawa na stock.
Ya nin kila siku uende dukani kununua unga nusu wakati kuna unga ulifungwa wa kilo 3 hadi 5? Siyo kwamba hana hela ya kununua hivyo vitu kwa pamoja la hasha anayo sema ni mentality tu washajijengea.
Swali, Ungekuwa na hio laki nne ungeweza kumpa mumeo elfu 20 kila siku? Chukulia hio laki 4 unayo wewe.Hii inawahusu wanaume sio wavulana.
Hivi inakuaje unavoondoka nyumbani unatoa bunda la laki nne lote mfukoni kwako halafu unachomoa elfu 20 tu ndio unampa mwanamke wako?
Ni kuringishia kwamba una hela nyingi au kukomoana kwamba pesa ninazo na sikupi. Nimeumia sana.
Kumbuka anahonga Malaya laki sharti awe mweupe TU . Sasa Mimi cheusi Mangala nikitaka mahitaji ya watoto napewa 20,000 .
Wanaume ni .............
Usishangae mkuu kwamba mtu hana hio hela ya kununua hilo furushi la vitunguu na unga. Vidole havilingani mkuu! Kuna mtu kipato chake ni buku 7 kwa siku akitoa nauli anabakia na buku 5 ndio akabalansie mambo ya maskani.
Mke akipewa elfu 4 kesho ndio mambo ya vitunguu vya 300 dagaa za buku jero, unga nusu, nyanya mbili na karoti moja, sukari robo yanapotokea.
Kuna mjinga alipewa million 10 za site na mumewe akahifadhi, akachomoa laki 2 kimya kimya akamtumia baba yake siku hela inahitajika ikakautwa iko 9.8M 🤣alikula makofi hakuamini kisha akatimuliwa aende kwa huyo huyo baba yake.Sasa wewe unajua mipango ya pesa iyo ? Pesa Mmeo anaweza kukuonesha hata 10m , ila wenda iyo pesa ipo na sababu za kua pale, moja anataka mlipa mtu ili apate pesa zaidi , au ni pesa ila ipo na mgao kwa watu waliochangia iyo pesa ukaiona.
Shida wanawake wengi sio wote mpo na tamaa sana, nini umekosa mpaka unalalamika hapa jf, nitamshauri mmeo kama jirani yangu
Moja kwanza akurudishe nyumbani kwenu ili kuongezea heshima kwa mmeo
Mbili , nitamshauri kuweka matumizi
ndani yote, yanayo hitajika alafu hakuna kukuachia hata sh moja ili upate adabu .
Umuachie sharifa bunda ndani bila maelekezo si atamaliza maduka sinza kununua mawigi ya kila aina😂 na kubandika kope na kucha.Hao ni wavulana ndio wanafanya hivyo mkuu.
Mwanaume kamili akifika nyumbani anaacha pesa zake zote na kuzitolea maagizo kwa kila kiasi, then yeye ndie anachukua kiasi kidogo kwaajili ya matumizi yake binafsi kwa siku inayo fuata.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 We ukiona bunda unajua zote za biskuti zile 😁Wanawake tuna akili kama za watoto,nilivyokuwa mdogo baba alikuwa anaweka pesa kwenye mfuko wa shati sasa nikiomba akisema hana nilikuwa simuelewi kabisa...kumbe zilikuwa zina mambo kibao ya kusolve..😅
Wanawake wa hivi mkuu bure kabisaKwa hiyo ulitaka akatolee chooni ili usione kiasi alicho nacho?
Wanawake mko na matatizo sana, mwanaume wa kweli anaweza shika hata milioni kadhaa na baada ya muda zimegawanywa zote zinaisha; zikileta nyingine ni bahati.
Wanawake kwa asili wanawaza macho yao yanapoishia.
Vipi baada ya kukua na kuanza jitegemea , unamshauri nini ,huyu mwenzako mleta madaWanawake tuna akili kama za watoto,nilivyokuwa mdogo baba alikuwa anaweka pesa kwenye mfuko wa shati sasa nikiomba akisema hana nilikuwa simuelewi kabisa...kumbe zilikuwa zina mambo kibao ya kusolve..😅
Hujui Dunia wewe , kadi kama kuacha inaachwa ya famili account tu na lazima elewa bajet ya pesa iliyotoka imetumika vipi, unaacha kadi ajichotee , unaongea nini ,wewe sio mwanaume na kama mwanaume umerogwa sio bure ,Wanaume hatuachi hela, tunaacha kadi mama ajichotee mwenyewe anavyotaka akiridhika ajue yeye mwenyewe karidhika wapi.
Mimi nitajuaje atakachohitaji ghafla wakati sipo?
We mtoa mada bado unamachungu ,so unataka vibunda vyote upewe , kwa sasa hutakiwi kupewa hata sh mojaUsinifokee bado Nina maumivu hayajapoa au umekuja kunimalizia wewe 😕
Kabisa mkuu , unaokoa gharama ya muda hata fedha .Utakuta mtu leo ameenda dukani kanunua nyanya mbili,kitunguu kimoja ,mafuta ya kupikia kibaba kimoja ,kesho anaenda tena kununua nyanya mbili,kitunguu,mafuta ya kupikia kibaba kimoja ,kesho kutwa hivyo hivyo wakati angeweza kununua tu nyanya 6 ,vitunguu vitatu na mafuta vibaba vitatu hizo siku mbili akawa na stock.
Ya nin kila siku uende dukani kununua unga nusu wakati kuna unga ulifungwa wa kilo 3 hadi 5? Siyo kwamba hana hela ya kununua hivyo vitu kwa pamoja la hasha anayo sema ni mentality tu washajijengea.
Mchepuko wapi, nyie wanawake ambao mmeolewa na ambao mpo na mausiano , ukiona mwenzako amekaa na mwanamke mwenzio mnafikili ni mchepuko wake? Kwani hawezi kuwa mfanyabiashara mwenzake au rafiki/ mtu wa karibu katika kufanikisha mambo yake zikiwemo izo pesa mnazolalamika ni ndogo.Mtoa mada kaona mumew anajali mchepuko Zaid ndo kilichomuuma
Acha iyo , kuna shule moja hivi , mkurugenzi alijichanganya kwenye nafasi mbalimbali za shule akaweka na ndugu zake mkewe ,siku ya siku ikachotwa pesa katika account ya shule na kununuliwa gari ya baba mkwe,Kuna mjinga alipewa million 10 za site na mumewe akahifadhi, akachomoa laki 2 kimya kimya akamtumia baba yake siku hela inahitajika ikakautwa iko 9.8M 🤣alikula makofi hakuamini kisha akatimuliwa aende kwa huyo huyo baba yake.
Baba mkwe akapiga simu tu kumuombea msamaha mwanae arudi. Wanawake wajinga sana wakiona hela.
Mchawi buku jero yakoYaan chapati ndio kila kitu... Siku hiZi for dinner