Wanaume naomba mnisaidie hapa

Mi huwa na kautaratibu hako na madem ambao huwa nakuwa nao huwa wanazoea,siwez kupga sm kila sku snaga story
 
Hapo we tafuta mchepuko tuu usiumie moyo [emoji23][emoji23]

Siwezi kuchepuka kwa mchepukaji anakaliwa kimya huyo yupo kwenye ignore list[emoji706],siwezi kuwaza hela alafu nimfikirie na yeye kwanini hanitafuti [emoji35]
 
Mi huwa na kautaratibu hako na madem ambao huwa nakuwa nao huwa wanazoea,siwez kupga sm kila sku snaga story

Sio kupiga simu chief hata meseji humcheki siku inapita?
 

Labda nikuulize mleta mada..
Baba yako unampenda? Je, haijawahi kupita siku, siku mbili, hata tatu au zaidi hujampigia simu? Je, uliposhindwa kumpigia simu, alikulalamikia kwamba humpendi? Je, kupiga/kutokupiga simu ndio kipimo cha mapenzi? Vipi kabla simu hazijaingia, watu walikua wanawasiliana kila siku? Je, walikua hawapendani? Hivi kiuhalisia kuna haja ya mtu kukupigia simu kila saa ndio eti ujue anakupenda??

Huu ulimbukeni wa kudhani kwamba mapenzi ni kupigiana simu ni utoto.. mimi naweza kukupigia simu na kutuma msg kila dakika na nikawa sikupe ndi vilevile. Wanaume wana mambo mengi ya kufanya kupambana na maisha, kutafuta pesa nk ili uishi maisha mazuri.. sio kukaa kupiga piga simu kila dakika..! Aftaroo ukipigiwa simu kila saa mnaanza kutuona kama mazuzu.
 
Acha basi ....mawasiliano ni kila kitu kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ndio mwanzo si kama tumekuwa kwa mudaa,kila kitu tupo sawa ila hapo tu kwenye mawasiliano,sioni kosa jingine lolote mambo mengine yote yupo sawa
 

Duh[emoji848]hapa kuna point,lakini...
 
Hili mbona rahisi sana, siyo tu hizo siku hata mwaka.
 
sasa kama hana cha kuongea na wewe akutafutie nin?afu nawe kama unampenda kwa nin usianze kumtafuta wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…