Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

Usimkorofishe kaka wa watu
Inatakiwa ajue kabisa tena vizuri hawa wanawake anaowatetea. Hivi anajua kuwa mwanamke akipigwa Kofi hadharani ni kosa kisheria ila akipigwa kosa kwenye 6x6 i mahaba na wanafurahia😀 wanataka wenyewe
Screenshot_20230328-200627.jpg
 
hahaha kwa hiyo kama msemaji wao hawa wanawake. Hivi unajua kuwa ikitokaga wanawahi kuoridisha ndani? 😀
ahahaha..mkuu mimi sio msemaji wao, usinielewe vibaya. ukishawagharamia basi jua tuu kuirudishia ndani ikichomoka ni suala la kawaida chunga sana usije pigwa na skuna kwenye mbupu kwa kuzamia vilivyo juu ya uwezo wako
 
Singo maza mko wapi kabla sijaanza kutema nyongo?!
Super_Angry_Face_Emoji_ios10_large.png

NB: Mwanaume jiridhishe umeona kaburi la mume mwenza na ufike mpaka ofisi za RITA kwenye vizazi na vifo wathibitishe mwamba hayupo duniani ndio uoe. Vinginevyo hatutaki kelele za malalamiko.
 
Back
Top Bottom