Wanaume naomba tuwapumzishe wanawake hapa Jukwaani, imekuwa kero na aibu sasa haya malalamiko yetu kila saa

Huo ni ukweli mchungu, Wanaume wamezidiwa pakubwa sana na Wanawake ndio maana kutwa kulia lia na wakiona kuna kisa Mwanamke kanyanyaswa wanafurahi hadi wanatamani wavue nguo hadharani,

Wanaume waliisha miaka ya 80, kuanzia 90 ni huzuni kwa kweli.

#KAA MGUU PANDE ZAMA ZA MWANAMKE KUTAWALA DUNIA ZIMEFIKA.
 
heee
 
Hapanaaaa..Hil tuliweke pending kwanza, tutalitazama kwa kina kisha tufanye uamuz sahihi..πŸ˜‚πŸ˜‚
unataka nipigwe kibuti🀣
Sasa unafikri utapata zawadi mbili mbili tukiachana. Zawadi ni moja tuπŸ˜€ tena tiunachanga
 
Sijasoma uzi wote ila mm naona nyuzi hizi zinatusaidia sana kwenye maamuzi yetu. Mfano kupitia nyuzi hizi mimi Nzugilwa nimejifunza kuwa sitakiwi kuoa single mother.

Nyuzi ziendelee
 
Mtoa mada nyuzi kama hizi zenye mafunzo kwanini unataka zisiandikwe?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…