Wanaume nawakumbusha kuoga kipindi hiki cha mvua


Mimi leo siogi, sitoki ndani labda nifate pombe tu pale grocery.

Nina mihogo yangu humu ndani naichemsha, naenda buchani kwa mangi kitafuta nusu kilo nitengeneze soup.

Hasara ya kutokuwa na backup mtaani inanikuta. Ningepiga simu tu njoo mara moja. Sasa napambana mwenyewe tu.
 
Nikiwa Arusha na sitaki kuoga maji ya moto hizi swaga zinatumikaga sana.

Maji unayapa mgongo halafu unayakwepa.
Hahah!!...

Maji ni adui wa haki ya binadamu hasa kipindi kama hii mkuu..

Na huo mfumo ndio silaha pekee ya kukabiliana nayo...

[emoji23][emoji23][emoji23]...
 
Hahah!!...

Maji ni adui wa haki ya binadamu hasa kipindi kama hii mkuu..

Na huo mfumo ndio silaha pekee ya kukabiliana nayo...

[emoji23][emoji23][emoji23]...

Kabisa yaani, mimi huwa siyo mpenzi wa maji ya moto, mpaka niwe naumwa au baridi iwe ya ukweli hasa.

Nikiwaga Arusha natesekaga sana, ila kuna mbinu ya kupaka sabuni mwili mzima, then ndo unajimwagia maji, unakuwa kama umepunguza ukali.

Mbeya mwezi wa saba maji ya moto ni lazima.
 
Hahah!!

Hii ya kupaka sabuni mwili mzima ni kama unajipa ulazima wa kujimwagia maji maana huwezi kutoka na sabuni mwilini
 
We mkazanie mume wako aoge kama haogi
 
Mmmmmmmh kuogaa muhimu boss
 
Hahah!!...

Maji ni adui wa haki ya binadamu hasa kipindi kama hii mkuu..

Na huo mfumo ndio silaha pekee ya kukabiliana nayo...

[emoji23][emoji23][emoji23]...
Hata huu.mfumo.ni wachache wanautumiaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…