Wanaume ndiyo viumbe pekee wanaoweza kukaa pamoja na kupiga ‘story’ kwa saa 6 bila kujuana majina yao

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau wote hamjamboni?

Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe

Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"

Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako

Niwatakie Sabato njema
 
Ni tatizo kubwa kua kalibu na mtu mda mrefu umjui hata jina.
ni kweli ila ndio uhalisia wetu. Kuna shule fulani niliyosoma nilikuwa na marafiki wengi halafu walikuwa hawanijui jina hadi nafika form six wanajua fulani ni moto advance ila mtu mwenyew hawamjui wanajua jina tu kumbe ndio Mimi. Kuja kushtuka wakati tunaosha vyombo baada ya kula jion kuna mtu akaniita sasa jina langu. Ndio wakaanza kushangaa
 
Hapa umetusokota mkuu....😜
Yaani hata mwalimu alikua hakuiti (kipanga) darasani...😳
Unamaanisha darasani kwenu hamkua na utaratibu wa kuitwa kwenye attendants book..😧
 
Hapa umetusokota mkuu....😜
Yaani hata mwalimu alikua hakuiti (kipanga) darasani...😳
mie kipindi hicho marafiki wengi walikuwa O-level. Kwa darasani mkuu. Ilikuwa kila ticha na somo lake pongezi zilikuwepo sema lifestyle niliiweka kawaida na nikajenga uhusiano mzuri na wanaonifundisha kiukweli advance kwangu ilikuwa simple sana.
 
Wadau wote hamjamboni?

Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe

Hakunw kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"

Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom