Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko mkoa gani,na wilaya gani na huo ground ya Basketball unachezea wapi mm ni mdau wa huo mchezo napenda sana Bball mm niko DarMie sasa karibu miezi minne kuna jamaa pale basketball ground simujui jina ila kila siku tupo pale.
Wadada nyie mnafuatanaga wale mashosti kama kumbikumbiNa wadada pia
Wadada nyie mnafuatanaga wale mashosti kama kumbikumbi
Mimi maisha ya chuo nilikuwa najichanganya kila idara iwe kwa walevi, Walokole, wazee wa movies, wazee wa games, wazee wa mikeka, wazee wa kutembea usiku kucheki soka, group discussion za watafuta GPA kubwa. Kote huko ukinikuta utafikiri ni mwenyeji. Mpaka wadau wengine wakawa wananihisi ni mtu wa usalama taifa kumbe nimezoea tu maisha ya kujichanganya na watu
vp wanaume wakianza kuitana kama hiviHata wanawake pia,huku tukiitana cute,mom..shoga,shost..wangu nk..
Mkuu wewe Ni mhaya?ni kweli ila ndio uhalisia wetu. Kuna shule fulani niliyosoma nilikuwa na marafiki wengi halafu walikuwa hawanijui jina hadi nafika form six wanajua fulani ni moto advance ila mtu mwenyew hawamjui wanajua jina tu kumbe ndio Mimi. Kuja kushtuka wakati tunaosha vyombo baada ya kula jion kuna mtu akaniita sasa jina langu. Ndio wakaanza kushangaa
Mbona wanaitana vizuri tu..gayvp wanaume wakianza kuitana kama hivi
au huwa mnaitana nao hivo nini?Mbona wanaitana vizuri tu..gay
nipo shinyanga huku mkuu.Mkuu uko mkoa gani,na wilaya gani na huo ground ya Basketball unachezea wapi mm ni mdau wa huo mchezo napenda sana Bball mm niko Dar
haha hapana sijipi sifa mie ndio ilivyokuwa.Mkuu wewe Ni mhaya?
haha hapana sijipi sifa mie ndio ilivyokuwa.Mkuu wewe Ni mhaya?
Noma sanaNaongezea.
Unafukuzia Mtoto, anakusikiliza mnabadilishana/mnapeana namba za simu. Cha ajabu wewe ukiwa unasevu namba unamuuliza jina lake kisha unasevu kwa jina alilokutajia, yeye wala hakuulizi jina lako ila anaisevu namba yako na mtawasiliana kama kawaida.
Maajabu haya
Hata siku kadhaa mnaweza kuwa mnakutana story kibao mnaachanazhadi kuja kufahamiana it takes time.Wadau wote hamjamboni?
Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe
Hakuna kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"
Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema