Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Ni tatizo kubwa kua kalibu na mtu mda mrefu umjui hata jina.Mie sasa karibu miezi minne kuna jamaa pale basketball ground simujui jina ila kila siku tupo pale.
ExactlyNi tatizo kubwa kua kalibu na mtu mda mrefu umjui hata jina.
ni kweli ila ndio uhalisia wetu. Kuna shule fulani niliyosoma nilikuwa na marafiki wengi halafu walikuwa hawanijui jina hadi nafika form six wanajua fulani ni moto advance ila mtu mwenyew hawamjui wanajua jina tu kumbe ndio Mimi. Kuja kushtuka wakati tunaosha vyombo baada ya kula jion kuna mtu akaniita sasa jina langu. Ndio wakaanza kushangaaNi tatizo kubwa kua kalibu na mtu mda mrefu umjui hata jina.
Hapa umetusokota mkuu....😜ni kweli ila ndio uhalisia wetu. Kuna shule fulani niliyosoma nilikuwa na marafiki wengi halafu walikuwa hawanijui jina hadi nafika form six wanajua fulani ni moto advance ila mtu mwenyew hawamjui wanajua jina tu kumbe ndio Mimi. Kuja kushtuka wakati tunaosha vyombo baada ya kula jion kuna mtu akaniita sasa jina langu. Ndio wakaanza kushangaa
mie kipindi hicho marafiki wengi walikuwa O-level. Kwa darasani mkuu. Ilikuwa kila ticha na somo lake pongezi zilikuwepo sema lifestyle niliiweka kawaida na nikajenga uhusiano mzuri na wanaonifundisha kiukweli advance kwangu ilikuwa simple sana.Hapa umetusokota mkuu....😜
Yaani hata mwalimu alikua hakuiti (kipanga) darasani...😳
MmmhNa wanawake pia ipogo hiyo..
Hii chai ya tangawizi mbichi, hahaaaHapa umetusokota mkuu....[emoji12]
Yaani hata mwalimu alikua hakuiti (kipanga) darasani...[emoji15]
Unamaanisha darasani kwenu hamkua na utaratibu wa kuitwa kwenye attendants book..[emoji47]
Kijana anaandika kana kwamba amekaa kwenye kijiwe cha kahawa na wazee wana cheza bao...😂🤣Hii chai ya tangawizi mbichi, hahaaa
Kweli kabisa mkuuWadau wote hamjamboni?
Huo ndiyo ukweli na mashahidi ni wanaume wenyewe
Hakunw kuulizana majina zaidi ya kupiga "story"
Cha ziada utakachosikia ni wao kuitana kwa majina ya Kiongozi, Mkuu, Mwamba, Chalii wangu au Kamanda wangu n.k kutegemeana na muonekano wako
Niwatakie Sabato njema