Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Kwahiyo sisi wa mjini ni artificial and infertile[emoji3][emoji3]
Huna cha kutushauri? Unatukandia tu
Wewe ni muarabu ns bado hujatumika sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]joke¡
 
Wanawake wa mjini hawajui kutunza nyumba zao mpaka msaada wa hg.
Hafagii & kupiga deki
Haoshi vyombo
Hafui nguo
 
Hata vijijini penyewe Hakuna hao wanawake unaowazungumzia maana waliamua kufurikia huko huko mjini baada ya life la vijijini kuwa gumu.

Haya mambo hayanaga fomyula kbsa, unaweza ukaoa mwanamke mzuri wa kijijini ukampeleka mjini na akaharibikia huko.
 
maneno ya waliokata tamaa
 
Wanawake wa mjini hawajui kutunza nyumba zao mpaka msaada wa hg.
Hafagii & kupiga deki
Haoshi vyombo
Hafui nguo
Eti unaoa leo kesho unatafuta hg wakati hakuna mtoto wala chochote. Hivi wanaume wanaoburuzwa hv Wana nguvu za kiume kweli?
 
Tena kijijini ndo kubaya zaidi zaidi....naongea haya kwa uzoefu kwa sababu kila mwaka naenda huko[emoji848]

Hakuna mademu wana njaa kama wa vijijini [emoji134][emoji134]

Yaan mia tano tu anatoa uroda kwenye mikahawa, au pombe za kienyeji anatoa utamu

Hawa wakaka wa mjini sasa ndo full kuwachezea, wanawadanganya ntakuoa nakupeleka dar yy anatoa mbususu...na wanaume wengi wa mjini ni wabovu wa afya, so chain ya mdudu imesambaa kijijini kutokana na tamaa za kijinga kabisa!

Mi ningekuwa mwanaume kamwe siwezi oa kijijini

NB

Huwa wanaume wananishangaza yaan hawajui kuwa mwanamke akiwa hana kazi yuko idle, eti unamuacha nyumbani, anayeshinda anazurula tu yaan huyo ni wa kumuogopa kuliko kitu chochote!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Kuna kitu nahitaji kujufunza kutoka kwako sijui utaweza kunisaidia maana mimi ni muhanga
 
Back
Top Bottom