Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Duh, ila wanaume wa vijijini kwenye show ni hatari, (japokuwa sio wote)[emoji1787][emoji1787] hasa wale waangusha magogo ya mikaa na kazi ngumu ngumu za kutumia Nguvu.Ila hao wadada wa Vijijini wamezoea kupigwa miti heavy duty si unajua kijijini watu wanafanya Kazi za kutumia nguvu kwa hiyo shoo yao ni heavy duty
Sasa ukienda kijana wa mjini Kazi laini za ofisini vitambi nk huwezi kumpa shoo kama ya wale jamaa kwa hiyo ni bora kukomaa na hawa hawa wa mjini wamezoea shoo za kimjini mjini.
Na Mwanaume wa kijijini akimkamata mwanamke wa mjini ataomba poo. Lishe yake tu Dona la kisamvu Cha chukuchuku (Natural food).
Mwanaume wa mjini akiwa anaenda kupiga show anakula chipsi yai na zege la mishikaki (artificial food), akiona haitoshi ana kunywa alkasusu/ supu ya pweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaongezea na Viagra / vumbi la mkongo/ pombe Kali n.k... Mmh.. Yaani anataka amnenepeshe ng'ombe siku ya mnada[emoji15][emoji2957]
Na yeye mwanaume wa mjini akimkamata mwanamke wa kijijini lazima amzarau kwasababu mwanamke hajazowea mziki wa blues amezowea Hiphop,, sasa unampigia Lege wapi na wapi!?
Hata wanawake wa mjini na wao wanavumilia mengi lakini,, basi tu hawana pa kusemea,, na wakisema hawarizishwi kwenye ndoa zao wanaonekana malaya kumbe ni haki yao