Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Hao wenye ukimwi ..wanangonoka na boda boda tu.ukitaka pata gono..katomb.e hao mademu
Namshangaa mleta mada anazungumzia viijini gani?? kisichana kikisha vunja ungo tu tyr kinatolewa bikra mashambani havijui hata kinga ni nini ni kujiachia hovyo hvyo tu vina ma gonjwa ya zinaa mpka huruma nimekaa sana vijijini kwa shughuli zangu nimejionea utofauti mkubwa wa mjini na vijijini!!
 
Tena kijijini ndo kubaya zaidi zaidi....naongea haya kwa uzoefu kwa sababu kila mwaka naenda huko[emoji848]

Hakuna mademu wana njaa kama wa vijijini [emoji134][emoji134]

Yaan mia tano tu anatoa uroda kwenye mikahawa, au pombe za kienyeji anatoa utamu

Hawa wakaka wa mjini sasa ndo full kuwachezea, wanawadanganya ntakuoa nakupeleka dar yy anatoa mbususu...na wanaume wengi wa mjini ni wabovu wa afya, so chain ya mdudu imesambaa kijijini kutokana na tamaa za kijinga kabisa!

Mi ningekuwa mwanaume kamwe siwezi oa kijijini

NB

Huwa wanaume wananishangaza yaan hawajui kuwa mwanamke akiwa hana kazi yuko idle, eti unamuacha nyumbani, anayeshinda anazurula tu yaan huyo ni kumuogopa kuliko kitu chochote

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Case Closed umeaongea kweli tupu vijijjini ni shida!!
 
mkuu every corner is evil now, kila pahali ni chafu, hebu angalia ni watoto wangapi wanapata ujauzito huko vijijini wakiwa bado standar 6 au 7, hakuna pazuri siku hizi, sasa kila mtu akizaa mtoto wa kike mjini awe anamupeleka kijijini, akakulie huko na kusoma huko
 
Vijiji ninavyo vijua mimi hali ni mbaya sana kulimo Dar. Watoto wa vijijini wanaanza mapenzi mapema. Hivi huwa hausikilizi jinsi wanaharakati wanavyo lia na mimba za utotoni? Dar mimba za utotoni ni chache ukilinganisha na kijijini.

Si mshauri mtu yeyote aende kuoa kijijini.
 
Vijiji ninavyo vijua mimi hali ni mbaya sana kulimo Dar. Watoto wa vijijini wanaanza mapenzi mapema. Hivi huwa hausikilizi jinsi wanaharakati wanavyo lia na mimba za utotoni? Dar mimba za utotoni ni chache ukilinganisha na kijijini.

Si mshauri mtu yeyote aende kuoa kijijini.
lol😅😅😅 mimba ni chache sababu wana access ya pesa na hospitali za kuichomoa pia wengine wananunua dawa za kuitoa.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Ila siku hizi hata hao wavijijini wanajua yote hayo na washayafanya sababu ya smart phones na huduma kama hizo kuwafikia...
 
Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana.

Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5 akiwa na miaka 12. Anaanzwa na dereva wa school bus halafu konda wa daladala na bodaboda watafuata.

At the age of 20 anapokuwa chuo anaanza kuwa na mapedejee wa mjini. Anapuyanga weee wanam-dump akifikisha 25. Muda huo wote anapata mimba na kuitoa.

Sasa kaka zangu huyu dada ukimuoa unataka raha ama karaha?

Ukioa mdada kama huyu utaanza kuhangaika na tiba mbadala ili apate kuzaa kumbe mwenzako alishatoa mimba zote.

Atakudanganya anasumbuliwa na michango hivyo hana hamu ya tendo la ndoa kumbe mwenzako hamu alizimaliza siku za nyuma.

Wakaka nendeni mkaoe vijijini. Hawa wa mjini mimi kama kungwi nayaona na kuyasikia mengi.

Ni mimi Sexless kungwi la kitaa.
Yamekukuta mkuu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom