Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hawa wa mjini ni artificial and infertile?
Poleni sana, ila usijumuishe wanawake wote wanaoishi mjini kwenye hizo tabia ulizozisema, that is totally wrongMijini mmekuwa soft kupita kawaida, hamfanyi kazi na kuanza kusingizia wanaume eti hawako romantic hawasaidii kazi za hapa na pale na pia wadada waliokuja mjini wenhi wenu zimekuwa za Ajabu sana kwa mfano ku normalize kuchepuka na kuwa na mabwana watano (sio wote lakini). Yaani shida kweli kweli
Mwanamke akishalewa unategemea nini? Na ndiyo maana wengi wana vitambi kama wanaume.Sema wanawake wa Dar wanapenda pombe jamani, duuuh!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Huko vijijini kwenyewe wadada wanalilia simu za kupangusa kioo (Touch Screen), halafu wakifika mjini wanawazidi hata waliowakuta.
Mfano, kuna mdada ametokea kijiji cha igunga huko, shilole, alivyofika Dar alikua house girl ila sasa hivi amekua msanii wa bongo fleva na amewashinda hata aliowakuta mjini kwa kurukaruka.
Kwa kweli uzazi hapa mjini umekuwa tabu sanaNi kweli asilimia 20 ya wadada wamjini wanazaa ,80 kweli wanashida.
Hoja ya kungwi hapa ni kwamba mdada hawezi kuwa na miaka 25+ hajawahi kudaka mimba. Usidanganyike, hayupo! Wengi washafanya yao.Kungwi...
Hivi kwani ili tumueke mdada group la wasiofaa tunaangalia sifa zipi au akiwa ametembea na wanaume wa 5 tayari hafai.. Au kuanzia wanaume wangapi anakuwa hafai tena??
Kungwi OG lazima uwe kwenye ndoaUmeolewa ?
Naona umeandika vya maana sana.
So mkuu, unamaanisha sisi wavaa vinjunga wa mjini hatuwezi show heavy???Ila hao wadada wa Vijijini wamezoea kupigwa miti heavy duty si unajua kijijini watu wanafanya Kazi za kutumia nguvu kwa hiyo shoo yao ni heavy duty
Sasa ukienda kijana wa mjini Kazi laini za ofisini vitambi nk huwezi kumpa shoo kama ya wale jamaa kwa hiyo ni bora kukomaa na hawa hawa wa mjini wamezoea shoo za kimjini mjini.
Mimi nimeambiwa kuna bikira hapa Moshi ..namsubiri hotelini..nitawapa mrejesho.Huko vijijini kwenyewe wadada wanalilia simu za kupangusa kioo (Touch Screen), halafu wakifika mjini wanawazidi hata waliowakuta.
Mfano, kuna mdada ametokea kijiji cha igunga huko, shilole, alivyofika Dar alikua house girl ila sasa hivi amekua msanii wa bongo fleva na amewashinda hata aliowakuta mjini kwa kurukaruka.
Sad truth hata uwe malaya vipi akiona ladha ingine atatamani aitaste...ni neema ya Mungu tu kumpata mume mwema ila na mwanamke tembea katika njia za Mungu. I think thats the only way ndoa zitadumu.Kila mtu ana chaguo lake kuna wanaotaka submissive wife kuna wengine wana prefer mwanamke atakayewa challenge.... ila kiukweli wanaume wengi wanapenda prostitues in bed, na umala*ya unakuja na experience eti....
Maneno kuntu hayo 👍👌👌👌Sad truth hata uwe malaya vipi akiona ladha ingine atatamani aitaste...ni neema ya Mungu tu kumpata mume mwema ila na mwanamke tembea katika njia za Mungu. I think thats the only way ndoa zitadumu.
All in all, decent ni 5% onlyPoleni sana, ila usijumuishe wanawake wote wanaoishi mjini kwenye hizo tabia ulizozisema, that is totally wrong
Tabia ya mtu haibadiliki kwa sababu ya mazingira, unaweza kwenda kijijini ukakuta kuna mabinti worse kabisa, tabia mbaya zote ni za kwao mpaka wakipita barabarani watu wanatema mate, na haps mjini pia kuna wenye tabia hizo lakini kuna mabinti decent ambao wanamaadili na wanajitambua