Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

Ndiyo maana siku hz wadada wanaruhusu mwanaume apitie mlango wa nyuma kwasabb mlango wa mbele imetumika Sana mpk fremu zake zimebomoka. Kumepwelepweta hatari.

Sexless kungwi la kitaa.
[emoji122][emoji122][emoji109][emoji106]
 
Kila mtu ana chaguo lake kuna wanaotaka submissive wife kuna wengine wana prefer mwanamke atakayewa challenge.... ila kiukweli wanaume wengi wanapenda prostitues in bed, na umala*ya unakuja na experience eti....
Nani kakwambia wanaume tunapenda malay in bed!? Hapana tunapenda awe na kaushamba kdoogo sio kla mkao yumo.
 
Focus Yako ikiwa kwenye ku attack wanawake bila sababu, na huku jinsia Yako ikiwa na utata basi members wanatakiwa wakuangalie kwa umakini sana.

I repeat, kungwi my ass. Usifosi tufanane. Hujielewi. When you can have a sound argument rudi hapa and I will gladly have one with you.
Pole kwa kugongwa na jiwe la gizani. Itakuwa ni miongoni mwa wadada ambao milango ya mbele fremu zimebomoka. Pole sana
 
Focus Yako ikiwa kwenye ku attack wanawake bila sababu, na huku jinsia Yako ikiwa na utata basi members wanatakiwa wakuangalie kwa umakini sana.

I repeat, kungwi my ass. Usifosi tufanane. Hujielewi. When you can have a sound argument rudi hapa and I will gladly have one with you.
Mimi Sexless kungwi la kitaa. Ukitaka maneno shombo nitakuporomoshea hapa mwenyewe utakaa kimya. Usinitibue
 
Hao wanaowaharibu wanawake wa mjini ni Akina nani? ( obvioisly ni wanaume wa mjini)
Kuwaharibu wawaharibu hao halafu wawaachie nani?

Pamoja na ukweli wa kilichosemwa , wanawake wa Mjini wana changamoto zake hali kadhalika wanaume wa mjini. Bahati mbaya wanawake ndio wako katika condemned position.
Hapa mjini tunalindana tu hamna asiye na kasoro awe Mtu mume awe Mtu mke.

Hali kadhalika suala la kuwa na K mnato na yenye kilomita chache ni jambo lilisilo na nafasi kubwa sana kwenye ndoa. For as long as yuko sexually avtive. Kwa upande wa pili, suala la kuweza kupata mimba ni suala la majaaliwa so mara zote imesababishwa na kilichosemwa na mtoa mada. Ndoa inajengwa na upendo, uvumilivu, kuelewana. Hayo yakiwepo vingine ni ziada.
 
kwa sasa hakuna tofauti ya mjini na kijijini mkuu, % kubwa ya watu wanaowaharibu mapema mabint ni boda boda, vinyozi na walimu na haya makundi yapo pote mjini na vijijini, kwa sasa tofauti ya bint wa mjin na kijijin ni ushamba pekee na sio kutumika.
 
Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana.

Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5 akiwa na miaka 12. Anaanzwa na dereva wa school bus halafu konda wa daladala na bodaboda watafuata.
Sema wanawake wa Dar wanapenda pombe jamani, duuuh!!!
 
Tena kijijini ndo kubaya zaidi zaidi....naongea haya kwa uzoefu kwa sababu kila mwaka naenda huko[emoji848]

Hakuna mademu wana njaa kama wa vijijini [emoji134][emoji134]

Yaan mia tano tu anatoa uroda kwenye mikahawa, au pombe za kienyeji anatoa utamu

Hawa wakaka wa mjini sasa ndo full kuwachezea, wanawadanganya ntakuoa nakupeleka dar yy anatoa mbususu...na wanaume wengi wa mjini ni wabovu wa afya, so chain ya mdudu imesambaa kijijini kutokana na tamaa za kijinga kabisa!

Mi ningekuwa mwanaume kamwe siwezi oa kijijini

NB

Huwa wanaume wananishangaza yaan hawajui kuwa mwanamke akiwa hana kazi yuko idle, eti unamuacha nyumbani, anayeshinda anazurula tu yaan huyo ni wa kumuogopa kuliko kitu chochote!

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom