- Thread starter
- #81
Kosa kubwa kwa mwanaume ni hili. Usioe mwanamke kwa mategemeo kwamba atakuja kukusaidia kutafuta chakula ama kuendesha maisha. Wanaume wengi wanao oa kwa mtazamo wako kama huu huushia kutujazia kesi za kusuluhisha sisi makungwi.Ndoa ni Zaidi ya ngono Chief kikubwa Oa mtu ambae mnaendeana na Mtasadiana kutekeleza majukumu ili familia isonge mbele mana yote kwa yote Mapenzi hayataleta Chakula Mezani, na hata uoe huyo wa Kijijini ila mwishoni utapiga tu mechi za nje
Oa ukijua unaongeza mzigo wa kulea na kuhudumia.
Sexless kungwi la kitaa.