Wanaume ni bidhaa adimu, wanaume wapo wanawake ndiyo hakuna

Suluhisho la haraka ni kila mwanaume aoe mke zaidi ya mmoja kihalali kabisa.
Mbona Mungu alishatoa huu muongozo kitambo sana ni ubishi tu wa binaadamu na akili za kike kwa baadhi ya wanaume ndio wanatetea mke mmoja.
 
Waambie hao wifi, wao ndio vinara wa tabia za hovyo..!! Wanawake tunabadilika kutokana na beat lao.
Wakae kwa kutulia kila mmoja anamuhitaji mwenzie
 
Safi,ukiona mwanamke amekuwa mjeuri ni matokeo ya treatment za mumewe
 
Hakuna mkate ngumu mbele ya chai,hakuna mwanamke mkorofi kwa mwanaume mwenye upendo,uaminifu,anayemsikiliza na anayejali hisia za mke wake.Mwanamke kwa asili akishapenda kweli,ni ngumu sana kusaliti,au kuwa jeuri kwa mummewe,hiyo nguvu Hana,Sasa ikitokea unamuona amekuwa jeuri au kiburi,inabidi mwanaume ujichunguze maana sio asili yetu kwa watu tuwaoendao
 
kweli kabisa nitakuja na mkasa wangu humu siku moja hawa viumbe sijui wapoje wenzetu so selfish alafu utaambiwa wewe mwanaume ndio selfishhh
Mkuu hao ni viumbe hatari sana kwenye hii dunia.
 
Tukiwa hatuna pesa mnatupaga stress sana, ndo tukizipata tunamwaga stress[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani niwe na pesa afu toto la mtu linilaze macho[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sa nini maana ya kuwa na pesa[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
K
Kwahiyo wewe unazani hao maboss au viongozi wake zao Wana Raha sana na waume zao eti? Au kwasababu mambo Yao hayawekwi adharani, mbona hao baba zako kabla yakugombea vyeo vikubwa walienda kubembeleza wake zao warudiane maana hawezi pewa cheo kikubwa bila kuwa na mke wa ndoa, kwanini wasingetambulisha michepuko yao kuwa ndiye mke! Acha hizo sema wanawake niwavumilivu sana kuliko wanawake, unakuta kiongozi anawanawake kila mji, unazani mkewe anajisikiaje! Hivi mfano mke wa Rais aanze kupayuka Rais anavimada vingi sijui nini unazani ataekeweka na jamii? Huwa wanajikaza tu na kuwatunzia heshima.
 
Wanawaume wengi hawajielewi na hawana uelewa wakuishi na mwanamke, sasa mbaba mzima midevu uso mzima akikwaruzana na mkewe anamsemea Kwa mama yake na dada zake unategemea hao mawifi na mama mkwe watamuonaje mkewe? Na mkewe atajisikia vipi? Mwanaume maliza changamoto zako na mkeo lakini mke na mme wote kama waimba taarabu tu
 
Sidhani kama ni bahati, maana wanaume wengi si wema. Ukitaka kupata mwanamke mwema , anza kuwa mwema, na weka vigezo mapema sana akilini mwako. Utaoa wa kufanana na wewe .
Wanaume wengi hutaka mke mwema ili hali yeye si mme mwema, sasa huwa wanataka nani aumie kubeba mzigo wa misumari! Ndiyo maana mwanamke anaamua wagawane misumari waumie wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…