Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

Ubunifu wa mke umekwisha, hajali tena kama zamani usafi wa nyumba. Pia ulevi wa kufuatilia tamthilia za azam umemfanya kupuuzia mambo mengine ya msingi. Raha ya kurudi home nilipopajenga kwa maumivu makali imepungua sana. La mwisho ni kamdomo na visirani... Aaah bora nikeshe bar na wana
 
Tusemezane Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?
Nadhani kwa wanaume wote, nyumbani ndiyo sehemu inayopaswa kuwa sehemu ya furaha kabisa. Hivyo basi swali lako ungeliweka vizuri kwa kuonyesha kuwa kuna wachache ambao hawana furaha wawapo nyumbani na udadisi ni nini hasa tatizo. Na pia unalenga wanaume gani? 1. unaweza usiwe na raha kwa sababu uko mpweke 2. Unaweza usiwe na raha kwa sababu una mwenza mkorofi 3.Majirani wasumbufu etc...
 
Kelele za chura hazimzuii TEMBO kunywa maji
Kama uanpelekeshwa na madame wako, basi kuna tatizo sehemu
 
Nina mzk mkubwa sn wa kuungaunga bass subwoofer la 12 inch la mzk wa gari likiunguruma panachmbka mtaa mzma sa lawama zmekuwa nyng sn mpk kwa mke wng maana mi napenda sn mzk mkubwa na mzto matokeo nmeamua kutokuwahi home natafuta sehem yenye mzk mkubwa naweka kambi hapo mpk mida ya kulala nageuka home, pili nmemtongoza mdogo wake na wife na nmeipga mara 1 sa nkrud mapema kanaona aibu sn..
 
Upande wangu mambo si mabaya nawahi home kucheza na madogo na kuyapa dispilin pale yanapozingua
Nimeshatoa yellow card zamani tu kuwa (wife) ukiona nimeanza kuchelewa kufika mapema home elewa na utambue mwenye matatizo ni wewe 100% Hivyo sitakuwa tyr kwa kikao chochote kuzungumzia hali hiyo.

Basi ukiona hivyo ujue wazi nitakuwa sehemu sahihi na tulivu kabisa na pengine makao yakarudi hapo.
So huwa ikitokea hata bahati mbaya nimechelewa samahani huwa ni nyingi mno akijua tyr kayakanyaga
 
Back
Top Bottom