Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

Upande wangu mambo si mabaya nawahi home kucheza na madogo na kuyapa dispilin pale yanapozingua
Nimeshatoa yellow card zamani tu kuwa (wife) ukiona nimeanza kuchelewa kufika mapema home elewa na utambue mwenye matatizo ni wewe 100% Hivyo sitakuwa tyr kwa kikao chochote kuzungumzia hali hiyo.

Basi ukiona hivyo ujue wazi nitakuwa sehemu sahihi na tulivu kabisa na pengine makao yakarudi hapo.
So huwa ikitokea hata bahati mbaya nimechelewa samahani huwa ni nyingi mno akijua tyr kayakanyaga
Ukifa mke wako hatoolewa
 
Nadhani kwa wanaume wote, nyumbani ndiyo sehemu inayopaswa kuwa sehemu ya furaha kabisa. Hivyo basi swali lako ungeliweka vizuri kwa kuonyesha kuwa kuna wachache ambao hawana furaha wawapo nyumbani na udadisi ni nini hasa tatizo. Na pia unalenga wanaume gani? 1. unaweza usiwe na raha kwa sababu uko mpweke 2. Unaweza usiwe na raha kwa sababu una mwenza mkorofi 3.Majirani wasumbufu etc...
Mkuu, kuna wanawake wakifikia kipindi cha menopause ndani ya nyumba shidaaa.
 
Upande wangu mambo si mabaya nawahi home kucheza na madogo na kuyapa dispilin pale yanapozingua
Nimeshatoa yellow card zamani tu kuwa (wife) ukiona nimeanza kuchelewa kufika mapema home elewa na utambue mwenye matatizo ni wewe 100% Hivyo sitakuwa tyr kwa kikao chochote kuzungumzia hali hiyo.

Basi ukiona hivyo ujue wazi nitakuwa sehemu sahihi na tulivu kabisa na pengine makao yakarudi hapo.
So huwa ikitokea hata bahati mbaya nimechelewa samahani huwa ni nyingi mno akijua tyr kayakanyaga
Hii nzuri sana
 
Mkuu, kuna wanawake wakifikia kipindi cha menopause ndani ya nyumba shidaaa.
Ushawahi muona kukua anaetetea anakuaje au kuku aliepoteza mayai yake anakuajekuaje..? Ndio wanavyokua hivyo sasa jogoo kazi yake kutuliza tetea likilialia jogoo linatuliza kisha linakunja linapanda juu linatomba vizuri likimaliza hapo linamuacha tetea ajikung'ute mwenye km kamwagiwa mchanga kumbe kamwagiwa mbegu... baada ya hapo haliilii tena ile lialia na makelele ni kutaka kutombwa
 
Back
Top Bottom