Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

Wanaume, ni kitu gani unavutiwa nacho unapokutana na mwanamke kwa mara ya kwanza?

Huwa nachanganyikiwa na mwanamke kwa mambo mawili:-

1.Nyewele za Asili
2.Mguu (Mguu wa Bia).

Hizi sababu mbili zimebeba mambo yote kwa mwanamke,huu ndiyo huwa ugonjwa wangu sugu.
 
Back
Top Bottom