Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Mna act kutupendaUnakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Ukisha mnasa samaki nn kinaendelea? Utaendelea kumuwekea chambo?Unakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Why inakua hiviNdivyo ilivyo.
😂😂😂😂😂Ukisha mnasa samaki nn kinaendelea? Utaendelea kumuwekea chambo?
unateseka ukiwa wapi?Unakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Dunianiunateseka ukiwa wapi?
pole sana njoo pluto tule bataDuniani
nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenziiii mapenziiiiii.Unakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺