ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unaweza kunifafanulia?Tumia ile kanuni ya third hand
Hiyo ndo kanuni ambayo itakufanya udumu na MTU na akupe attention yake muda wote 24/7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kunifafanulia?Tumia ile kanuni ya third hand
Hiyo ndo kanuni ambayo itakufanya udumu na MTU na akupe attention yake muda wote 24/7
"Campaign in poetry, govern in prose".Campaign zinakua zimefikia mwisho.
Mleta uzi,zingatia hii kitu.Na mtangazaji wa matokeo anakua ameshaomba msamaha kwa Mungu.Campaign zinakua zimefikia mwisho.
Mkuu wanawake kwenye mapenzi wao wana beti ndiyo maana wengi wana poteza.Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Kwa uzoefu wangu uliotokana na Kuoa wake 7 mpaka sasa, hakuna Mwanaume asiyependa kupendwa na kujaliwa.
Get out of the rat race and forget about the superficial things that preoccupy your existance and get back to what's i mportant know..Rat race
Inasemaje hii kanuniTumia ile kanuni ya third hand
Hiyo ndo kanuni ambayo itakufanya udumu na MTU na akupe attention yake muda wote 24/7
Kwaio babu mwanaume akiwa Na mchepuko round hua zinapunguaKwa uzoefu wangu uliotokana na Kuoa wake 7 mpaka sasa, hakuna Mwanaume asiyependa kupendwa na kujaliwa.
Tatizo nilionalo labda huyo mpenzi wako amepata mtu mwingine(side chick) hivyo mawasiliano ambayo alikuwa akiyafanya kwako amehamishia Kwa mrembo mwingine.
Ukitaka kuamini hilo angalia mwanzoni mlipokuwa mkikutana alikuwa anaenda round ngapi na sasa anaenda round ngapi (factor ya umri izingatiwe kama ameshavuka miaka 45)
Wanaume mtusa
Inasemaje hii kanuni
Yani ht sijui tuna shida gan, huwa tunakuwa very excite mwanzon 😃😃😃Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.
Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Kama ametoka Kwa Mchepuko amepiga round 3 ama mbili, ujue akija nyumbani akijitahidi sana ataenda round Moja ama atafikia Kulala kabisa bila kukugusa.Kwaio babu mwanaume akiwa Na mchepuko round hua zinapungua
...Men are hunters by nature..!!
Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!😂😂
Hata nakupenda sana sio lazima ujue kuwa nimezama na nifanye vitu vya wavulana waliobalehe,mwanzo ni ili utambue kuwa nakupenda na ndo maana nimekuoa,
Ila huku baadae mapenzi yapo ila huwezi kuyaona kama awali
Ndo mana ukiona mama kafumaniwa mara chache sana wakaachwa hai? Ila hayo mapenzi nyie hamna😀😀
...😂😂😂nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenziiii mapenziiiiii.
Akanifanyia ushenzi ushenzi ushenziii mapenziiii.
Nikayachukia mapenzi mapenzi..!
Fukuza kunguru kunguru kunguru "aaah aahh"