Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
🤣🤣🤣Wii wew kiboko nitakuja unifundishe umafiaTulizinguana hiyo siku hasira nikapasua simu yake, akajifanya jeuri akatoka nikamfata, akaingia kwenye gari nikatafuta mjiwe nikavunja kioo 🤣🤣🤣
Alivyotoka nikakimbia, baadae nikampigia video call aone nguo zake ninavyozichoma moto 😹😹
Mwanaume mwenyewe mfupi km kikombe cha kahawa halafu anisumbue Mxieeeeww