Huwa tunawapenda sana sema unakuta hatuna kingine (especially hizo mbwembwe unazotaka) cha zaidi maana vyote tumefanya, kwahiyo kinachotufanya tuendelee kuwa pamoja inakuwa ni chemistry na characters zetu tu, na hapo ndipo wanaume tunaamua kufukuzia dream goal zetu badala ya kuendekeza mbwembwe za kimapenzi ambazo hazitasaidia for more years to come.
Jiulize mwanaume na mwanamke waliokaa pamoja let's say miaka 2, kuna chochote kipya ambacho mtakuwa hamjafanya.? Mnakuwa mshajuana kuanzia aina ya utani, style za mapenzi zote, reactions juu ya issues mbalimbali....kwahiyo kila kitu anachofanya mwanaume kinaonekana ordinary tu.