Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Men are hunters by nature..!!

Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!😂😂
Na haka kautetezi wanakapenda sana
 
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Kuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....

The less the fu<k you give, the more the fu<k you get, usimpe sana attention yako mwanaume hadi akaona attention yako yote amechukua. jifunze ku balance equation maana mapenzi wala sio magumu pia sio rahisi sana.
 
Kwahiyo hiyo ndio ilikuliza aah.

Hiyo ni asili kwenye kila kitu kikiwa hakipo kwenye hali yake ya kawaida lazima baada ya muda kirudi kwenye hali ya ukawaida wake ili kiendelee kuwa comfortable.

So akitumia nguvu nyingi kukufanya ufurahi wewe furahi tu kwa wakati huo huku unamuhesabia siku kwa maana lazima atarudi kwenye comfort zone yake.
 
Kumbe Wii ni bondia 🤣🤣🤣
Tulizinguana hiyo siku hasira nikapasua simu yake, akajifanya jeuri akatoka nikamfata, akaingia kwenye gari nikatafuta mjiwe nikavunja kioo 🤣🤣🤣

Alivyotoka nikakimbia, baadae nikampigia video call aone nguo zake ninavyozichoma moto 😹😹
Mwanaume mwenyewe mfupi km kikombe cha kahawa halafu anisumbue Mxieeeeww
 
Kuna kitabu kinaitwa " The subtle of art of not giving a fu<k" ukisoma hicho utajua kinachotakiwa ufanye ni....

The less the fu<k you give, the more the fu<k you get, usimpe sana attention yako mwanaume hadi akaona attention yako yote amechukua. jifunze ku balance equation maana mapenzi wala sio magumu pia sio rahisi sana.
Ni kweli wajuzi wanasema
Don't chase instead attract him/her
Usikimbize kitu kinachokimia huwez kukipata kamwe bali kivute
Ni Somo pana sana
 
Back
Top Bottom