Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushauriniπŸ₯ΊπŸ₯Ί
Nothing to say
 
Wanawake bhana...

Au unakuta kamtu kananyoa nyusi zote halafu kana ku video call eti kanakuomba hela ya kubandika Nyusi bandia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hahaa πŸ˜‚, au kanabandika kucha ili ulete house girl, na akija kanakusingizia unamahusiano nae, wanawake bhan
 
Back
Top Bottom