Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna haja ya campaign na jimbo tayari ni lakoCampaign zinakua zimefikia mwisho.
Tukishajihakikishia ushindi huwa hatuna mambo ya kushambulia tena tunapak bus tuUnakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Hii pia hua sababu, shida zinakua nyingi mara vile mara hivi kelele nyingi ndio wanaachwaga hapoTatizo mnatugeza benki.....kwahiyo tunapunguza maombi ya mitaji
Umenichekesha sana "Kare".. enzi hizo nikiwa Tosa boys hiz tulikua tunafanya sana pale iringa girls na ifunda girls.. usije uka lose confidenceMen are hunters by nature..!!
Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!😂😂
Namna napenda drama mpaka hapa si tayari nimeshafeli kabisa..??🤭Mapenzi ni siku 90 , mwanaume anakua keshakuchoka, utabaki unabebwa na tabia yako, ukianza usumbufu na tabia mbovu unaachwa, mwanaume anaweza kukaa na wewe hata mwaka kumbe alishakuacha kitambo na replacement ilishafanyika muda, ukiendelea na usumbufu imekula kwako, ukitulia inaachwa replacement anarudi kwako, mwanaume ni kiumbe hakipendi kelele Wala kuvurugwa akili hata kidogo mkiielewa hii code mtadumu sana kwenye mahusiano
usitupende kabisa wewe tuchune tuu hela zetu hapo ndio tutaendelea kukupa attentionUnakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Duu swali zuri na fikirishi nitajaribu kubadilishana uzoefu , hata sisi huwa tunapenda sana lakini wanawake siku hizi mnatongozwa sana zamani ilikuwa inasadikika kwamba msichana, (mwanamke), alikuwa ana egemea upande mmoja kwa muda wa mwaka mmoja akiona mwaume haieleweki ndiyo ana hama lkn siku hizi duu mko busy na business mna hama hama sana tukinusa harufu ya panya tunazindika na kuwa mapozi nami mapozi naweeUnakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Mnafanyia push-ups hisia za mabinti wa watu..?? sahii mnapigwa matukio mpaka mbili haikai wala tatu haisimami, ila haya maisha..!!😂Umenichekesha sana "Kare".. enzi hizo nikiwa Tosa boys hiz tulikua tunafanya sana pale iringa girls na ifunda girls.. usije uka lose confidence
Ww unafanya hayo kwake au mbaka afanye kwako tu ndio upendo uonekane?Unakuta mwanaume mwanzon mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana ......the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu....mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha .....kwanini inakua Ivo wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma....tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺