Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Uliona wapi mbunge akiapishwa anarudi tena kupiga kampeni??
Imeisha hiyooooo 🤣🤣🤣🤣
 
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Zingatia kula vizuri na kulala vizuri mamy
 
Inabidi wanawake wasiwaoneshe wanaume kama wanapendwa ili mambo yaende sawa
 
Hasa picha ya sura yako ipo sebuleni, tunalala kitanda kimoja kila siku,tunashinda pamoja lazima tuvumiliane tu ndiyo ndoa.
 
kheeeh', kwani kunibebisha huku unatafuta hela kuna ugumu gani jamani..?
Mbona sisi tunalea watoto 7 na mapacha watatu na huku tunatafuta hela eti baba mchungaji..??😂
Kumkuta mwanamke aliyezama kwenye utafutaji na anaelea watoto kikamilifu ni sawa na kupatwa kwa jua (wapo ila ni wachache mno), vivyo hivyo mwanaume kama hajajipata na kama ana msimamo juu ya ndoto zake kifedha lazima ahangaike tu na katika hicho kipindi hunekana "kama" hajali kuhusu mapenzi.

Tuvumilieni katika hiyo phase ili wakati wa kutulia tuenjoy mapenzi sasa, ukifuatilia kila ndo zilizofika uzeeni hiyo phase haikukosekana.

SIMAANISHI UKAE KUVUMILIA PASIPOKUWA NA NIA.
 
Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua Na juhudi Sana Na wewe utapigiwa Sana message Kwa Sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention Kwa Sana the moment tu mwanamke ameanza tu Ku reciprocate the love Ni kama anakua ameharibu.

Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua message zinapungua calls zinapungua zile mbwembwe alizokua anafanya anaacha kwanini inakua Ivo Wanaume nikwamba hataki mpendwe ama maana mkishapendwa Na mkajua mnarudi nyuma. Tufanyaje wanawake tushaurini🥺🥺
Mwanaume sii wa kudekewa,sii wakukerwa,sii wakuchungwa,sii wa kuonewa vivu,sii wakulindwa,sii wa kusingiziwa,hivyo ni kujua anataka nini,hataki nini anapenda nini na hapendi nini.sasa mwanamke kisirani asubuhi mchana,jioni,sasa mambo yakibadilika unalalamikaje kwa mfano.
 
Sisi kama CCM tunakuwa hot kipindi cha uchaguzi otherwise ni kuchill tukila matunda
 
Back
Top Bottom