binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Learn kuhusu Love bombers, Learn kuhusu consistency kwenye mapenzi. Ndio maana ni vizuri mwanzo wa mapenzi kumwambia mtu asiover-promise, over-do na vitu kama hivyo, ili ikusaidie kumanage expectations zako na kumfanya atambue kuwa anachofanya si sahihi na atashindwa kumaintain, hence migogoro.
Kutambua afya ya akili ya huyo mwenza wako, ni jambo la msingi sana, unless na wewe afya ya akili yako ina mushikeli, uko wa baridi/don’t care/mr/miss“everything is okay”
To a narcissist, everything is about him/her, Akishafanikiwa kukufungamanisha nae anakuacha hapo uhangaike nae, apate supplies alizokuwa anazihitaji, moja ya supply hizo inaweza tu kuwa ni “kuboost ego yake”. Some of them wanafanya hivyo kwa utambuzi, wengine hawajitambui.
Watu wengi watalieleza hili kwa maneno mepesi, ila ni jambo la kitaalamu. Sijui kwanini hii elimu huku kwetu tumenyimwa, ndio maana watu wengi hawawezi kuwa single, ni bora ajifungamanishe na mtu ili mradi tu awe na mtu, Ukijifunza mengi utagundua lots of people ni wagonjwa/changamoto ya afya ya akili.
Tutalaumiana bure, tunalaumu wagonjwa 😂😫😭🤭