Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

Mkuu wanawake kwenye mapenzi wao wana beti ndiyo maana wengi wana poteza.
 
Kwa uzoefu wangu uliotokana na Kuoa wake 7 mpaka sasa, hakuna Mwanaume asiyependa kupendwa na kujaliwa.

Tatizo nilionalo labda huyo mpenzi wako amepata mtu mwingine(side chick) hivyo mawasiliano ambayo alikuwa akiyafanya kwako amehamishia Kwa mrembo mwingine.

Ukitaka kuamini hilo angalia mwanzoni mlipokuwa mkikutana alikuwa anaenda round ngapi na sasa anaenda round ngapi (factor ya umri izingatiwe kama ameshavuka miaka 45)
 
Mwanaume mfanyie mpenzi au mke wako kila kitu Kwa kiasi, maana asili ya mwanamke ni kutoridhika hata ufanye nini, usijekumpenda sana utajuta na kama mwanaume hutakiwi kujishusha Kwa mwanamke, mfano mdogo wamepewa kucha lakini hawaridhiki wanaongeza za bandia, wamepewa nyusi wanaona hazitoshi hadi waongeze nyingine, nywele wanaongeza zaid, mwanamke na rangi yake bado haridhiki tataka ang'ae zaidi au azidi alivo, makalio wanataka kuongeza kila siku, wewe jukadirie yeye na wewe ukijikadiria maisha yako, hao watu hawaridhiki ndio asili yao
 
Kwaio babu mwanaume akiwa Na mchepuko round hua zinapungua
 
Wanaume mtusa
Inasemaje hii kanuni


Ntaelezea nikitulia Ila third hand in short ni hali ambayo hukiwa na MTU anajihisi kuna kitu unamuongezea na sio kupunguza.

Third hand huwa inaleta magnetism na kupelekea MTU kukupa attention muda wote maana unkuwa umetoka kuwa useful into important

Ntarudi kuelezea siku Kama ya leo
 
achana na hao watoto wa wawanawake wenzako. watakuumiza. akiigiza unaigiza akipunguza maigizo na wewe unapunguza. akipunguza kukupigia nawe unapunguza hivyo yaani tutaenda nae sawa.
 
Yani ht sijui tuna shida gan, huwa tunakuwa very excite mwanzon ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Kwaio babu mwanaume akiwa Na mchepuko round hua zinapungua
Kama ametoka Kwa Mchepuko amepiga round 3 ama mbili, ujue akija nyumbani akijitahidi sana ataenda round Moja ama atafikia Kulala kabisa bila kukugusa.
 
Men are hunters by nature..!!

Huo muda wanahamishia chimbo jingine kufanya campaign, huwa wanadai hawataki tactics zao za kutongoza zipungue makali, hivyo wanazifanyia mazoezi..!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
...
nilikuwa na mpenzi mpenzi mpenziiii mapenziiiiii.
Akanifanyia ushenzi ushenzi ushenziii mapenziiii.
Nikayachukia mapenzi mapenzi..!
Fukuza kunguru kunguru kunguru "aaah aahh"
...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ