Wanaume ni wa ovyo sana

Wewe dada hebu tulia, wewe ndiyo umeolewa, inamaana amekuchagua na amekuona ni bora kuliko wanawake wote duniani ndiyo maana akafunga pingu za maisha na wewe . Wewe ni wa thamani kwake ndiyo maana
wewe ni mke wake, kwahiyo hao uliosoma msg zao wanapoteza muda wao tu.
Tulia endelea kumheshimu mumeo kama hujaona hizo msg, Tena mpe yote kwa mfulululizo kwa muda wa wiki nzima.

Mwanamke mpumbavu ndiye anayevunja ndoa yake Tena kwa yake mwenyewe.

MUNGU akutunze.

Husimuone kuwa ni mwanaume wa hovyo futa huo usemi
 
Wewe ulijuaje Kama wametukanana Kama huendekezi mawasiliano na hao wanawake, tena inaonesha humuheshimu mkeo hata kidogo.....Yani hao wanawake wa nje umewapa umuhimu kuliko mkeo.
Kwa kweli Hana heshima kwa mkewe na ni dharau ya Hali ya juu.Yaani hajui mke ni Nani na Ana umuhimu gani kwake. Yeye anathamini michepuko yake.Yaani mwanaume Kama huyu hawezi kupata mke kwa Dharau zake kiasi hiki.
 
M
Niliona chattings zote na bd mwanamke alibisha kwamba siyo yy. Kesi ilikuwa nzito hii mpaka serikali ya mtaa tulifika
Kesi ipi nzito hapa???Hivi wewe unaona ni sahihi kuthamini michepuko kuliko mkeo wa ndani Tena uliyegharamika kumtolea mahari????Nadhani hata serikali za mitaa umeacha gumzo.JIREKEBISHE,UTAKOSA MKE.AU UNA JINI ???
 
 
huyo mwamba ni muaminifu sana. Kati ya wanawake 4000 katembea nao 57tu.Huu ni uadilifu wa kiwango cha juu kabisa. Ukimuacha huyo ukadondokea kwangu utajinyonga Bure.
 
Umeileta huku sisi tufanyaje?
 
Ubarikiwe sana mkuu. Asipoelewa hapa basi huyu mwanamke ni shetani.
 
Saaana.Wanaume asilimia kubwa Hawa Wakristo ni wahuni Sana.Utakuta pesa Hana,Mali Hana,busara na hekima Hana,heshima pia Hana,na uhuni juuu.
Huyo atakuwa sio mtu anaekosa hivyo vitu!
 
Mbususu ni tamu sana. Tusikatazane kwenye mambo mazuri aisee
 
Hii chai nzuri sana kushushia na futari. Yaan ulihesabuje hao wanaume ukagundua wapo 20 tu? Ulitumia muda gan kupekua hiyo simu. Nb yule mwamba wa kigoma anakuita tena
 
Jambo la kushukur hafukui mitaro ....wala Hawali mashoga wa kiume ....note:huo ndo uanaume
 
Hata kama,je Kati ya hao woooote hajapata hata mmoja basi atulie naye angalau awe na mchepuko mmoja,sasa yeye katongoza wanawake wote mitandaoni ,huyu ni binadamu kweli?
Ni ushamba tu, kutokujitambua na kuwa na hofu ya mungu
 
Poleh!
 
kunya anye kuku eeh...eti muombe msamaha[emoji3][emoji16][emoji23] yaani unacheat na wanawake zaidi ya 10 alafu nikuombe msamaha,, kama hakuna mwanaume asie kitombi basi sitaolewa mm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…