that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 385
- 1,246
- Thread starter
-
- #201
hata sikumfanyia nyodo i was very cool and humble from the beginning alichokosea ni kutokuniambia kuwa alikuj kwangu for healing then alivopona akamifanya nifall then boom 💥 machosi 💔Usikute hapo mwanzo ulikuwa na nyodo za kishenzi sana kwa mwana, mwisho wa siku mchizi kamwagia ndani akaingia kizani.
sawa ndo uje unitukane dm 🙄Na wewe kenge unajisikiaje kumuumiza mwanaume kihisia??.....mapenzi Ni mchezo Kuna kunyoa na kunyolewa Kati ya ke na me........mdada we kubali kwenye huo mchezo umenyolewa ww na utaumia na hakuna rangi utaacha ona.....utawachukia wanaume wote mpaka saikolojia YAKo ikue sawa........nimemaliza
sina shida na mwanaume tena wa jf abeeg. 😎Sijui hata
Nawe ni mdudu basi😂angekuepo
hatuwezi achaLini mliacha kutuchukia??
Good lucksina shida na mwanaume tena wa jf abeeg. 😎
hakuna mwanamke analiwa kimasihara unless kabakwa vinginevyo inakua ni mtu kaamua kuliwa tuPole sana bibie kwa kuliwa kimasihara!!!
yaaan mi pia nimeshukuru sijabaki na kijusi 🙌🏻🙌🏻Yes! Kuongea kunapunguza machungu.. kukifatiwa na kublock muhusika huku ukibaki unashukuru hajakuacha na kijusi.
Tangu Yule mwanamke aniumize. Aisee. Nikaomba Mola aniondolee roho ya huruma kwa mwanamke.
Ukweli ninajua kuwaumiza tena sio sana yaan hadi naambiwa hivi ni wewe uliyenitongoza au mwingine?
Aisee. Hicho kikombe ukikinywea lazima roho ya uangamizi
Hauko peke yakokumbe siko peke angu ntakae kuwa monster
Wanaume ni vitimoto (nguruwe)😂😂😂😂😂😂Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Katika mateso na maumivu kuna funzo dada angu..imagine mtu anakwambia mi sio kama wale kumbe ye ndo CEO wa wale aaah meen[emoji1316][emoji1316]
Hii imeenda, hii imeenda 😂[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani wanaume kuwa kwao wadudu kunaweza kuwafikia wanawake ambao wao ni nyoka...
Sasa mi nikujaze upepo ili iweje wakati mwenyewe nimeshajazwa nikajaa hadi sijielewi?
Ungekuwa umewahi kupenda kweli wala usingeuliza hivi.Unampaje mtu moyo wako au wewe zombie🤣🤣🤣unaishije bila moyo??
Tobaaaaa! Mimi maisha yangu yote nimewakwepa hao watu sana!Yaan wewe ndio Mimi niliumizwa jamani...wewe afisaa wa jeshi ulie kuja kozi Monduli ukaniumiza jua umesababisha niwaumize wanaume wenzio...hususan wanajeshi wenzio
Hatari Mkuu, yaani ndiyo wanasemaga "Baniani mbaya Kiatu chake dawa"Mwingine kaahidi kulipa kodi,mwenye nyumba kachachamaa,msela haonekani,ahadi mwenye jengo haelewi,bibie kodi alishaserebukia akijua mjinga atalipia,sasa haelewi afanyeje. Hata ya kuhamisha vitu tu huenda noooooo. So?! So what!!!!
Aligundua kuna sehemu alizama kwenye kina kirefu,akaamua aachie masela
Ushaliwa na kuachwa, pole ukipata mboo mpya utasahauAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Tatizo wakiliwa mara moja wanataka ndoaWanaume wenzangu kuanzia leo tuongeze umakini, tusikubali Rungu spray Max zinunuliwe na kuwekwa nyumbani. Mtoa mada hachelewi kutupulizia sisi wadudu tukakufa bure [emoji12][emoji12]
===========
Ladies kabla hamjakubali mahusiano vyema kujua lengo la hayo mahusiano yenyewe ili ku-lower expectations. Hii itasaidia kufurahia mapenzi yenu kuliko kukaa na mtu ukijua kuwa atakuoa soon, kumbe mwenzio aliomba mahusiano nawe kwa lengo la kuburudishana tu.