Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga πŸ₯²

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Pole sana bibiye kwa kupenda usipo pendeka.
 
images (9) - 2023-12-19T183032.814.jpeg
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga πŸ₯²

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Na bado hamjasema,mpk mseme

Mtanyooka tu
πŸ˜‡πŸ˜€
 
Wanaume wenzangu kuanzia leo tuongeze umakini, tusikubali Rungu spray Max zinunuliwe na kuwekwa nyumbani. Mtoa mada hachelewi kutupulizia sisi wadudu tukakufa bure 😜😜

===========
Ladies kabla hamjakubali mahusiano vyema kujua lengo la hayo mahusiano yenyewe ili ku-lower expectations. Hii itasaidia kufurahia mapenzi yenu kuliko kukaa na mtu ukijua kuwa atakuoa soon, kumbe mwenzio aliomba mahusiano nawe kwa lengo la kuburudishana tu.
 
Back
Top Bottom