Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Kama sisi wanaume ni wadudu, basi mimi ni mende that manziAliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..
limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲
anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men
na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?