Wanaume ni wadudu

Wanaume ni wadudu

Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Kama sisi wanaume ni wadudu, basi mimi ni mende that manzi
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
KWANZA KABISA MDUDU WEWE MWENYEWE....
PILI KWANI NA NYIE HAMUUMIZI WANAUME KIHISIA?????
NIKUPE MFANO MMOJA...JE UNAJUA IRENE ALICHOMFANYIA NDIKUMANA????
 
kama ndio zako hizi acha waendelee kukupiga na kukuacha..
...
Screenshot_20231219-224314.jpg
 
Aliesema fear men hakukosea, aisee wanaume ni wadudu siwapendi nawachukiaa..

limtu linakukuta zako na furaha linakufanya unafall alafu linaleta mambo ya kijinga 🥲

anyway, ladies take time to fear men, hakikisha una fear men

na nyie wanaume huwa mnajiskiaje kumuumiza mtu kihisia ?
Ukishasikia "wanaume ni..." "Wanawake ni..." "Watanzania ni..." "Wazungu ni...", ukiondoa ile kauli ya foundational definition kama "Watanzania ni watu wa nchi ya Tanzania", kingine chochote hapo ni overgeneralization.
 
Back
Top Bottom