Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi boyz wanaweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
 
Jana nilikua nimekaa sebuleni na watoto pamoja na mama yaoo,, wenyewe wanakaa mji mwingine na ninao kaa mimi sababu ya kikazi.. Sebuleni palikua pazuri sana yaani ile feeling tu ya kuona we are together as a family cant be explained kwa kweli.... labda kama kuna migogoro ndio ndoa inakua chungu lkn kama mna amani raha ya ndoa huwezi ifananisha na chochote..
 
Au una kaumaskini ka kipato mkuu? Yaani unapata raha kwa kukaa sebuleni??
 
Sipo kwenye ndoa ila nadhani ndoa ni kama kuwa na haki miliki kwa huyo mwanamke au mwanaume!

kwamba umekuwa umeshajimilikisha kihalali. Hapo atakuwa na mipaka ya kimahusiano na watu wengine! Kitu ambacho huleta heshima na muunganiko wa familia mtakayojenga.

Sasa hawa wasiokuwa na ndoa utakuta Mama ana watoto 6 ila kila mtoto ana Baba yake! Nadhani kwa staili hiyo familia haitakuwa na muunganiko... Watoto wakikua wanasambaratika kama vitoto vya mbwa vilivyoacha kunyonya.

Halafu pia, kutokuwa ndani ya ndoa, utakuwa ni kama malaya tu uliyestaarabika. Muda wowote unaweza ukatoka na mtu yeyote.

Mnakuwa kama ng'ombe tu... Mbabe (e.g mwenye pesa) ndo atachukua mwanamke!
 
KILA mtu ana interest zake za kuoa na hazifanani na mwingine. Wapo uoa kwa lengo la kupata
1.watoto
2.Faraja mtu wa kumliwaza wakati
3.Kushiriki tendo
4.Mlinzi wa nyumba na mali zake
5.Msukumo wa familia, ndugu,kazi au kabila
6.nk
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza mzalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi Boyz wanweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
tunaoa kwa ajili ya kujichallenge tu hakuna vingine.

huku kwetu mwanaume ambaye hajaoa na umri ushavuka miaka 30 anaonekana shoga, mwoga wa majukumu, mpuuzi na mshamba mshamba.
 
Back
Top Bottom