Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

Kijana wangu, ndoa ni tamaduni yakupasa kulielewa hilo. Ni moja ya mambo ya kale mno na yenye kujenga heshima na kuepusha jamii ya walioharibikiwa.
Nafasi ya ndoa bado ni jambo lenye busara, sisi wanaadamu tumepewa akili na tukaoana si wanyama wengineo ambao wao hawaioni thamani iliyopo katika ndoa hivyo kwao ni sawa tu kupandana.
Yakupasa ikikufikia muda sahihi uoe ili uwe ni sehemu ya wanajamii waliostaarabika. La hutaki kuoa sikushauri kupata mtoto nje ya ndoa.
 
Naturally / Biologically kuna viumbe ni rahisi kwao kulea wakiwa wawili kuliko mmoja (kugawana majukumu) ndio maana kuna baadhi ya ndege na wanayama wengine (akiwemo binadamu) ni better kuwa couple kuliko single...

Tuakianza kusema its okay, kina mama watazidiwa na majukumu kwa watu kuwabebesha ujauzito na kuingia mitini...

Ingawa practically kwa sasa hii taasisi ni kama haina maana malezi ya watoto anaachiwa dada wa nyumbani hivyo hii argument ya malezi ni kama imekuwa diluted

Pia zamani ukiwa a bastard (no known father) ilikuwa ni kama ukoma which now is diluted as well...

Hivyo basi ushauri wangu To each his own....
 
Ukifika kwenye 70s utaacha kabisa kufikira na hata kusahau kabisa huo utelezi na mengine yote hayo bali utahitaji faraja tu. Simple ni kwamba mwanaume mwenye ndoa anapata vyote hivyo bila kuhangaika au kujichosha.

Lakini cha mwisho na cha muhimu zaidi ni anapata Familia ilyo bora.
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza mzalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi Boyz wanweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?

Hatupigi nyeto
 
Ndoa heshima sijaoa ila ndo mpango mzima mi naona ofisi huku .. mweny ndoa wapewa vipaumbele sana hata kama elimu yenu iko sawa ..siwafichi wanangu usipooa na ukazalisha inaonekana muhuni tu kama unajikuta mjanja elewa hilo

Mfano dunia ya leo imekuwa ya ovyo kwa sababu watu wanapuuzia ndao. Wanangu vijana wenzangu mungu awafanyie wepesi nikiwemo mm katika hustling zenu pia tupate ndoa tutulie ya dunia hayaishi .
 
Ngoja kwanza,
1.Hivi unapata faida gani kununua gari kw kutumia mapesa mengi wakati yale ya bei ndogo yapo.
2.unapata faida gani kunywa mapombe wakati ni machungu.
3.unata faida gani kupandana na mpenza/malaya wakati unajichosha.
4.unapata faida gani kuchukua mapesa kununua mbegu eti upande shambani.nk n.k...

Nataka kusemaje,,,
Kuna vitu vinafanywa siyo kwa kuangalia faida tuu,inabidi tu vifanyike.
Unakuta kuna jambo inabidi ulifanye japo faida hamna au faida ni moja ila hasara ni mara mbili ya faida.

Swali hili ulouliza mtoa mada kwa maoni yangu naweza sema ni la kipuuzi tena la kufungia nusu mwezi!
 
Fedha,malezi mabovu zime ondoa maana ya Ndoa. Ukija huku social networks, 50/50,usawa wa kijinsia, wanaharakati nk ni maadui mkubwa wa ndoa.

Huko mbele litatimia lile neno la nabii Isaya,ukirudi huku kuna rundo la vijana ambao wamelelewa na mzazi mmoja, hawa ndio kabisa sio mabalozi wazuri wa ndoa na namba yao inakuwa kwa speed ya light.
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza mzalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi Boyz wanweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Kama tunaoa wanawake wa replace washing machine ,rice cooker, cleaner, nk basi hata kama mi ni mwanaume nashauri ubachellor uendelee
 
Fedha,malezi mabovu zime ondoa maana ya Ndoa. Ukija huku social networks, 50/50,usawa wa kijinsia, wanaharakati nk ni maadui mkubwa wa ndoa.

Huko mbele litatimia lile neno la nabii Isaya,ukirudi huku kuna rundo la vijana ambao wamelelewa na mzazi mmoja, hawa ndio kabisa sio mabalozi wazuri wa ndoa na namba yao inakuwa kwa speed ya light.

KILA mmoja anaexpirience ya jinsi wazazi wake walivyoishi.
Ukioa/ olewa na mtu ambae mzazi wake ni single au aliyeachika achana ni hatari kesho nae atakuwa kama mzazi wake sababu ya ile roho inafatilia.
 
Jana nilikua nimekaa sebuleni na watoto pamoja na mama yaoo,, wenyewe wanakaa mji mwingine na ninao kaa mimi sababu ya kikazi.. Sebuleni palikua pazuri sana yaani ile feeling tu ya kuona we are together as a family cant be explained kwa kweli.... labda kama kuna migogoro ndio ndoa inakua chungu lkn kama mna amani raha ya ndoa huwezi ifananisha na chochote..
Yes yes bro, you just nailed it. Yaani mimi ukifika ule muda wa kula, then namcheki wife na watoto wanakula wana furaha and then nagundua that is happening kwa sababu yangu mimi baba, kuna feeling siyo y kawaida.
 
Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume.

Wanaume walio single ukiwauliza wanasema:
1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani.
2-Wanaweza mzalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto
3-Kupika siyo ishu tena, siku hizi kuna vifaa kibao vimerahisisha mapishi(e.g rice cooker, electric boiler, n.k)
4- Kufua siyo tatizo kuna mashine za kuoshea.
5-Usafi wa nyumba kuna makampuni siku hizi ukitoa buku 30 nyumba inakuwa safi mwezi mzima

On top of that kuna mahusi gals na mahausi Boyz wanweza wakaajiriwa kufanya kazi na 2, 3, 4 na 5.

Ndiyo sababu wanauliza waoe kutafuta nn?

Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Nina guarantee tu ya nikiugua atanifulia, mengine hakuna
 
Hebu fungukeni faida kuntu mnayopata kwenye ndoa. Ni ipi?
Possibly umetoka kumaliza shule hivi karibuni, kama ulisoma Physics basi kuna kitu inaitwa MA ie mechanical advantage MA = fO/fi

MA ikiwa <1 ni hasara kwako, MA ikiwa >1 ni faida kwako, baiskeli huwa na MA <1 lakini ukiwauliza wengi watakuambia pamoja na kuwa na <1 unapata yafuatayo:
What are the advantages of bicycle?
The health benefits of regular cycling include:
  • increased cardiovascular fitness.
  • increased muscle strength and flexibility.
  • improved joint mobility.
  • decreased stress levels.
  • improved posture and coordination.
  • strengthened bones.
  • decreased body fat levels.
  • prevention or management of disease.
Kama umesoma vizuri utakuwa umenielewa
 
Back
Top Bottom