msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikikaa nao mbali week mbili tu kichwa kinauma lazima niwachungulieJana nilikua nimekaa sebuleni na watoto pamoja na mama yaoo,, wenyewe wanakaa mji mwingine na ninao kaa mimi sababu ya kikazi.. Sebuleni palikua pazuri sana yaani ile feeling tu ya kuona we are together as a family cant be explained kwa kweli.... labda kama kuna migogoro ndio ndoa inakua chungu lkn kama mna amani raha ya ndoa huwezi ifananisha na chochote..
Sio kumtegemea mwanadamu kwa namna hiyo, Tafsiri ya hilo andiko ni kuwa amelaaniwa anayekwenda kwenye uganga na uloziKuna wanaokimbiwa mkuu. Ndiyo maana maandiko yamekataza kumtegemea mwandamu. Maandiko yanasema "amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu".
Sasa mtu anapotoa hoja kwamba ameoa ili kwamba akiugua mkewe atamsaidia. Huyu mtu huoni kwamba anamuoa mke afanyike kuwa tegemeo wakati wa shida (ugonjwa)? Kwann asimtumainie mola wake akaamua kumtegemea mke?Ndugu usitumie maandiko vibaya, soma biblia nzima ndio uje udadavue uo mstari kwa upande wa ndoa. Tuache kutumia biblia kujustify uhuni.
Hapana. Hata kumtegemea mwanadamu wakati wa shida ni kosa. Binadamu anapaswa kumtegemea Mungu kwa kila Jambo. Kuoa kwa lengo kwamba ukiugua mkeo atakusaidia ni kumsaliti (kumdogosha) Mungu.Sio kumtegemea mwanadamu kwa namna hiyo, Tafsiri ya hilo andiko ni kuwa amelaaniwa anayekwenda kwenye uganga na ulozi
Mkuu mke anaweza kukaa na upande wa kanga mwaka mzima. Lkn demu asipohongwa anasepa. Kwa ufupi wasiooa wanatumia pesa ndefu kudumisha mahusiano yao.Kwaujumla wewe ndio maskini, pesa anayotumia kutunza familia ni kubwa unayotumia wewe kufanya uhuni. Ukitaka kujua, ingia kwenye ndoa kimasihara uone halafu na familia itengenezeke. Watanzania vijana tuna karoho fulani cha inferiority complex na pia ushamba.
Watu hawaachi kusafiri ama kutembea kwasabb kuna faida kubwa isiyoepukika ktk kusafiri na kutembea. Ambayo ni kutafuta riziki.Kila kitu kina risk, mbona huachi kutembea au kuvuka barabarani, siunaweza gongwa na gari ukafa ila mbona huachi. Ndoa za sasa hazidumu kwasababu kila mtu humuwazia vibaya mwenzake, yaani ni full immaturity na nonsense.
1. Baraka za Allah hulindwa na wema na uongofu wa mtu. Lkn kama una ndoa lkn unachepuka, unadhulmu, unaua, unasengenya, n.k hiyo ni kazi bure. Unapoteza mida na baraka hutazipata.1.. Kwanza ni baraka Za Allah kwajili ya ndoa
2. Pili mkee hana mashari ya time
3. Mkee atakusaidia kwenye shida na raha
4. Mkee anatunza Baker ya kufika malengo
Sasa unataka mwanandoa asaidiwe na nani kama sio mwandani wakeHapana. Hata kumtegemea mwanadamu wakati wa shida ni kosa. Binadamu anapaswa kumtegemea Mungu kwa kila Jambo. Kuoa kwa lengo kwamba ukiugua mieo atakusaidia ni kumsaliti (kumdogosha) Mungu.
Msamaria mwema, jirani, ama mpita njia. Mtegemee Mungu atakufanyia njia pasipo njiaSasa unataka mwanandoa asaidiwe na nani kama sio mwandani wake
Lakini Kuna wenye hela nyingi sana bado wanataman familynAKAZIA
wakapimwe mkojoLakini Kuna wenye hela nyingi sana bado wanataman family
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Na hela isingewezekana kupatikana Bila ya haoDawa ya matatizo yako yooote haya ilikuwa kutafuta hela. Hela ingekupa vyote hivyo
tunaoa kwa ajili ya kujichallenge tu hakuna vingine.
huku kwetu mwanaume ambaye hajaoa na umri ushavuka miaka 30 anaonekana shoga, mwoga wa majukumu, mpuuzi na mshamba mshamba.
Nmeongelea kwa deal zinazohusu ukweni,Sio kweli, maybe if you work with stupid people, uninyime deal kisa sijaoa? that's a bullshit, anajaribu kukumanipulate uishi anavyotaka, those are kind of people who i dont associate with.