Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ndoa ni zaidi ya sex
Ndoa ni zaidi ya kupikiwa na kufuliwa.
Ndoa ni moja ya uwezekezaji unaoleta furaha na heshima katika jamii iliyostaarabika.
Kuna nchi ukitaka visa zao ikiwa huna ndoa/familia inaweza kukupa kaugumu flani kuwa unaweza kuzamia na usirudi.
Mwenye ndoa imara na thabiti ni mtu mwenye furaha sana.
Mwenzi wako hasa mke ni mwalimu wa familia na dhamana bora kabisa.
Usiichukulie poa ndoa hata siku moja japo ni moja ya taasisi hatari usipomuomba Mungu akupe mtu sahihi.