DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kuna dili zinapatikana ukweni,Toa mfano wa dili linaloweka marital status kama contigency...?
Kama hujaoa ile familia huwez kuzipata.
1. Kuna hekar 35 nmepewa na wakwe zangu uko mkoani, nalima mpunga kila mwaka.
2. Nanunuaga ndama wadogo napeleka ukweni, wananifugia bure. Sahv nna ngombe wengi Kias uko mkoani.
Nikihitaji pesa,
Ni Simu Moja tu ng'ombe au mpunga unakobolewa unauzwa chap napata pesa nafanya mambo yangu.