Umesomeka Mrs... Asante kwa personal xperiencemabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
mi kudate mmoja tu siwezi sembuse multiple? mi najituliza zangu bna bora nisiolewe kuliko kutembeza papa kila kona kisa kutafuta ndoamabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
Okay!!Bora alie kilio cha kushindwa kuchagua yupi kwa kuolewa nae kuliko kilio cha kujitoa sanaaa kwa mwanaume mmoja af akaolewa mwenzie... Life is abt choices baby...choices....challenge ur future
Ila unatakiwa ujue mwanamke kama wana waume wawili kugundulika ni rahisi sana kuliko mwanume,sijui unalijua hilo?Mbna unamtia woga..? Unataka aendelee kuwaste time?am js advising her to use her time properly to reach her end goal ya kupata mtu wa kuishi nae...
Huyo ndo wa ukweli achana na yule mwingineHahahhaha.. Ubize wake si wa nchi hii.. But I'm into him..wacha niende nae mdogo mdogo...
Umeona eeh? Mi sikutishi ila inabidi ujipange kweli kweli binafsi siwezi kukushauri ufanye hivyoHahahhaha... Eti siku moja.. Yaani na nilivyo careless mfano kwenye simu yaani ni faster.. But usinitishe bhana kila safari ni hatua [emoji1] [emoji1]
Umeona eeeh??! Waambie ukweli hao maana utakuwa unatangatanga badala ya kuwa specific.......waache wafanye ila naamin kuna siku wataleta uzi humu wa kulia juu ya kutendwa na wanaume!!mabinti wenzangu hebu acheni kujidanganya kwamba dating multiple men ndo kuolewa, unaweza date hata 10 na asikuoe hata mmoja mwisho wa siku ukaishia kuwa alone, ndoa ni majaaliwa ila cha muhimu ni kujua unataka nini na mtu wa aina gani, kuwa na mtu mmoja mkishindwana basi utapata mwingine na kama ni bahati yako utaolewa tu, trust me i speak from experience, muda ulipofika i met the man of my dream, we dated for just 8 months tukaanza process tukafunga ndoa. Kuna wadada ninawafahamu waliishi wa hiyo rule kwamba una date watu wawili au watatu unaangalia future iko wapi, jamani mpaka leo wapo tu, wingine wameamua kujizaliwa na kuwa single mothers
Safi sana uko vizuri,hongera iko siku utaolewa tu!!mi kudate mmoja tu siwezi sembuse multiple? mi najituliza zangu bna bora nisiolewe kuliko kutembeza papa kila kona kisa kutafuta ndoa
I have already given him my words, so namvumilia tu na ubize wake kwa kuwa najua nature ya kazi yake.. Even though I am missing the attention but no problem there's a hope for future....Huyo ndo wa ukweli achana na yule mwingine
Naweza jikuta nimejiharibia kila kitu.. Uuuwiii nitaweka wapi hiyo aibu jamani...Umeona eeh? Mi sikutishi ila inabidi ujipange kweli kweli binafsi siwezi kukushauri ufanye hivyo
Haya ndo maneno unayotakiwa kuyasema sasa,safi!!I have already given him my words, so namvumilia tu na ubize wake kwa kuwa najua nature ya kazi yake.. Even though I am missing the attention but no problem there's a hope for future....
Umeona,za kuambiwa changanya na zako!Naweza jikuta nimejiharibia kila kitu.. Uuuwiii nitaweka wapi hiyo aibu jamani...
Hahahhaha... But I'm scared nisije kuta he's foolish me.. Waiiii mapenzi ni kiza tu, kikubwa kuomba Mungu uliye naye awe genuineHaya ndo maneno unayotakiwa kuyasema sasa,safi!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sio nichanganye na za mbayuwayu????Umeona,za kuambiwa changanya na zako!
Pambana mama ila kwa kiasi kikubwa wanawake huwa tunawadanganya sana hata kama unampendaHahahhaha... But I'm scared nisije kuta he's foolish me.. Waiiii mapenzi ni kiza tu, kikubwa kuomba Mungu uliye naye awe genuine
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] za mbayuwayu utapotea[emoji1] [emoji1] [emoji1] sio nichanganye na za mbayuwayu????
Upo nawe kwenye list?Miss Natafuta mpaka sasa ushaandika wangapi kati ya list nzima ya wangapi?