Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Ungeongeza 0 kwa mbele hapo ningekuamini
 
Hadithi yako nzuri best!
 
Usione dada zako tumekaza sura kwny ndoa ukadhani we have it all..subutuu.... Keeping up appearances at its best...Badae bwn majukumu
Asante kwa kufunguka nimejifunza kitu, be blessed
 
Sichagui bna sema ndo hivo
Utapata tu usijali my dear.. Wanaume waongo kweli.. You story relate to mine.. Yaani Kuna huyo alinidanganya Hana mke ila ana watoto wawili.. Pyee kumbe anaishi na huyo dada.. Cha ajabu mpaka kwao alinitambulisha na dada zake walikuwa wananipigia simu pia mama ake naongea nae.. Nilipomwuliza anasema eti yule dada wanalea tu watoto ila mie ndio Mwanamke wa ndoto zake.. I was like whaat!!! Since we broke up ni kama mwaka lakini mpaka leo ananitaka na kunibembeleza.. Yaani mmmh
 
Hata waajiri wanahitaji wafanyakazi wenye uzoefu,unafaa sasa kuwa mke
 
Asante kwa kufunguka nimejifunza kitu, be blessed
Kwny maisha kuna baadhi ya vitu...ts all about perception...
Unaweza pata mtu mbaya ukammudu kuishi nae...na ukampata mzuri mkashindwana kabisaa... know ur man,know what u want cheza na hilo beat...angalia vya msingi kwako ni nini...jipange utaishije..mengine muombe Mungu akusatisfy..
Utashangaa siku huyo jamaa anaoa a woman na anakaa nae maisha yote...
 
Rudisha hlo goma,mmudu,but date other guys pia(no sex,lazma ujilinde) ili akipindua u have backup ...umri ukienda mtatia akili wadogo zangu... Overtime some shitty qualities js go out of the window.. U stick wth basic issues... Mf wa issue basic ni good in bed,japo inategemea mtu na mtuu...na Mungu kakupangiajee
 
Wooow.. I have to make you my love life consultant.. Yaani unachosema kimeclick kichwani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…