Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Wanaume niliowakataa mchumba namba tatu! Muendelezo

Ungeongeza 0 kwa mbele hapo ningekuamini
 
aisee watu mnapenda ubuyu.mnataka nifukuzwe kazi eeeh ? wakati nikiwapiga mzinga mnakuja na thread humu .acheni nijitafutie rizki bana maana bills zangu nalipa mwenyewe.pm yangu mmejaza lawama
basi naombeni mtulie na mchumba namba tatu hadi saa kumi na nusu jioni nitaendelea

Mchumba namba tatu

Uuwwwwi ***** ngoja kabisa nitukane .hivi ulishawai kumpenda mtu eeeh??? Huyu jamaa bwana nilimpendaaa mpaka nikawa Napata homa. Msema kweli mpenzi wa mungu ndo mwanaume pekee ambae pia alishawai kunikojoza. Na tulisex mara moja tu tena kimoja!nishapitapita huku na kule japo mimi sio Malaya ila ni binadamu nadanganyika jamani.ila sikuwai kukutana na mtu kama huyu plus aliniingia moyoni mbaya kabisa. Mungu ni mwema jamaa nae alikuwa ananipenda sio kidogo na yeye alitaka kunioa kabisa.jamani nilimpenda yule mkaka mpaka naandika hapa machozi yananitoka eti . jamani nina roho ngumu mimi sio ya nchi hii. ila kwa yule kaka moyo wangu ni maji tena hewa kabisa acheni.

Nakumbuka ilikuwa mkesha wa mwaka mpya flani jamaa akaniambia mwakani inabidi tufunge ndoa miss! Nilifurahi jamani siku hyo mimi yaani nilishinda mtandaoni kutafuta magauni ya harusi . yaani nilikuwa sishikiki bna.

Usiku wake nipo nimelala nikashtuka kuna kitu kikaniambia miss ebu omba kwa ajili ya huyu mchumba wako.kusema kweli mimi nampenda Mungu sana japo nachukia walokole na nawaponda haswa sio kwamba mimi ni mtu wa shetani lah .mimi napenda uhalisia sio kuishi maisha hayapo kama walokole wanavoishi.namcha Mwenyenzi Mungu nipo spiritual sio mtu wa dini dini mie.

Basi nikaamka saa nane na nilivo mvivu sasa aaah nikapiga dua yangu wee nikalala .

Kesho yake mwaka mpya huo nimeshtuka saa tano hata sikwenda kanisani wala nini nilipitiwa kumbuka nililala saa kumi na moja baada ya kuamka kusali saa nane ile. Simu ikaanza kuita . nikapokea ni mdada akawa anaongea kama mashine sijui ya nini na mimi nilivo mvivu hata sikumjibu mimi ni mvivu jamani hata kuongea sometimes nakaa kimya utadhani nina kiburi kumbe naona tu uvivu kuongea na wewe. Hata hapa naona uvivu kuandika basi tu ngoja nipumzike kidogo aaah

Basi bwana mi nikakata .akapiga tena akaniambia wewe Malaya unatembea na mchumba wangu flani nikikukamata nakufumua marinda live mwanamke anaongea yule nilikuja kugundua baadae ni mc huko uswazi so mnaweza kuelewa nilichambwa namna gani kaka na dada zangu.akabwabwaja wee haniachi hata niongee kitu jamani kuna wanawake wanaongea eti ?? ikabidi nikate tena akawa anapiga mimi sipokei.

Nikatulia wee mchana nikampigia nikamwambia sikiliza wewe dada usinione mimi fala hii simu nimepiga mimi kwaiyo kaa kimya unisikilize kama ulivopiga nikakusikiliza.akaleta jeuri ila baadae akaelewa maana nilikuwa na busara kidogo

Nikamwambia henu nieleze taratibu hiliswala lako hapa ongea na mwanamke mwenzako wacha jazba.mimi unanijua? Kosa langu ni lipi? Akaelewa chizi yule

Akaniambia dada flani ni mwanaume wangu nina watoto wake wawili.ni (kweli jamaa alishaniambia ana two kids!) nilikuwaga msichana wake wa ndani kipindi anaishi na mwanamke wake(ni kweli aliniambia alishawai kuishi na mwanamke wakashindwana) alinipa mimba ,akanipangishia chumba na hata leo amelala hapa nimeona sms zako kwenye simu yake. Nikamwambia pole na poa so unatakaje?
Akaniambia bwana mimi nachotaka achukue watoto wake akaishi nao kwake. Hapo jamaa alikuwa anaishi na watoto wengine watatu kwake .kumbuka aliniambia ana watoto wawili so mimi nkajua ndo hao.

Nikamuuliza watoto si anaishi nao siku zote ? akaniambia wale watatu pale home ni wa yule mwanamke alokuwa anaishi nae . so jamaa ana 5 kids na baby mazas watatu.

Aisee mapenzi haya acheni msione watu tupo single . nikamwambia poa mamaa usijali mimi wala sikuchukulii baba watoto wako tuliza mshono.

Nikamtafuta jamaa ,nikamueleza habari yote.akaniambia ni kweli ila ananipenda na yaliyotokea ni kosa lake alienda kupokea mwaka na watoto na kuwaaga maana mwakani ndo hivo tutakuwa wote

Ila nikaja kujumlisha na kutoa jamani mwanamme wa watoto watano!5 kids???? Eeeh maisha yenyewe haya ,tuna moyo lakini inabidi tutumie na ubongo eti ?mama watoto wapo single si awaoe? Mimi bwana nikaachana nae japo alikuwa mtamu yule acheni kabisa hakunaga

mchumba namba nne...
Hadithi yako nzuri best!
 
Sichagui bna sema ndo hivo
Utapata tu usijali my dear.. Wanaume waongo kweli.. You story relate to mine.. Yaani Kuna huyo alinidanganya Hana mke ila ana watoto wawili.. Pyee kumbe anaishi na huyo dada.. Cha ajabu mpaka kwao alinitambulisha na dada zake walikuwa wananipigia simu pia mama ake naongea nae.. Nilipomwuliza anasema eti yule dada wanalea tu watoto ila mie ndio Mwanamke wa ndoto zake.. I was like whaat!!! Since we broke up ni kama mwaka lakini mpaka leo ananitaka na kunibembeleza.. Yaani mmmh
 
Hata waajiri wanahitaji wafanyakazi wenye uzoefu,unafaa sasa kuwa mke
 
Asante kwa kufunguka nimejifunza kitu, be blessed
Kwny maisha kuna baadhi ya vitu...ts all about perception...
Unaweza pata mtu mbaya ukammudu kuishi nae...na ukampata mzuri mkashindwana kabisaa... know ur man,know what u want cheza na hilo beat...angalia vya msingi kwako ni nini...jipange utaishije..mengine muombe Mungu akusatisfy..
Utashangaa siku huyo jamaa anaoa a woman na anakaa nae maisha yote...
 
Utapata tu usijali my dear.. Wanaume waongo kweli.. You story relate to mine.. Yaani Kuna huyo alinidanganya Hana mke ila ana watoto wawili.. Pyee kumbe anaishi na huyo dada.. Cha ajabu mpaka kwao alinitambulisha na dada zake walikuwa wananipigia simu pia mama ake naongea nae.. Nilipomwuliza anasema eti yule dada wanalea tu watoto ila mie ndio Mwanamke wa ndoto zake.. I was like whaat!!! Since we broke up ni kama mwaka lakini mpaka leo ananitaka na kunibembeleza.. Yaani mmmh
Rudisha hlo goma,mmudu,but date other guys pia(no sex,lazma ujilinde) ili akipindua u have backup ...umri ukienda mtatia akili wadogo zangu... Overtime some shitty qualities js go out of the window.. U stick wth basic issues... Mf wa issue basic ni good in bed,japo inategemea mtu na mtuu...na Mungu kakupangiajee
 
Kwny maisha kuna baadhi ya vitu...ts all about perception...
Unaweza pata mtu mbaya ukammudu kuishi nae...na ukampata mzuri mkashindwana kabisaa... know ur man,know what u want cheza na hilo beat...angalia vya msingi kwako ni nini...jipange utaishije..mengine muombe Mungu akusatisfy..
Utashangaa siku huyo jamaa anaoa a woman na anakaa nae maisha yote...
Wooow.. I have to make you my love life consultant.. Yaani unachosema kimeclick kichwani kabisa.
 
Back
Top Bottom