Wanaume njoon mnipe jibu

Wanaume njoon mnipe jibu

Na wanavyojua kuutetea huo umalaya wao sasa utachoka. Ni akili tu hawana, hizo nguvu wangehamishia kusaka pesa tungekuwa uchumi wa kati kitambo.
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Ukiwa na rafiki usipende akawa na mazoea na mmeo
 
Ngoja nisome replies tu maana hata nikitoa msimamo online huku physical nyege zitanifanya nivunje msimamo wangu
 
Kwenye swala la kujamiiana akili ya mwanaume huwa aiangalii wadhifa,jinsia,umri au chochote.yeye chochote kitakachowezekana kula atakila.ndo maana vichaa wanapata mimba,watoto wadogo wanabakwa,mashoga wanapata wakuwala yaani kila kitu kinaliwa hadi wanyama watu wanakula.Kinacholeta tofauti ni ustarabu wa mwanaume mwenyewe jinsi alivyolelewa na jinsi anavyojiheshimu.Kama yeye mwenyewe atashindwa kujiheshimu usitegemee atamheshimu mkewe,chochote kitakachopita karibu akiwa na uwezekano wakukila atakidaka.pole sana kwayaliyokukuta.
 
Hahahaaa!Rafiki wa mke na njirani ndiyo wanawake waliokaribu yetu pia.Ni rahisi kuongea naye kwa sababu tayari mnamazoea ya ukaribu.
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Kukosa kujiheshimu tu
 
Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Na wewe ulimkula nani?
 
Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k

Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....

Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....

Na huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
Mungu anisamehe. Niliombwa show na mke wa rafiki , nikapiga.

Chanzo jamaa yangu anamaliza wiki ni kula kulala. Lakini anatembeza rungu nje kama chizi. Akiombwa ndani ni dk 5 amesepa.

Mama akitamani anaandaa mazingira ananikonyeza, nampa.

Ndo maisha yetu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Mmmmh
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Shida haipo kwa wanaume kwa sababu ya kuwa na vichwa viwili, shida ipo kwa wanawake , adui wa mwanamke ni mwanamke.
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Sasa kama unajua hatuwezi kutulia na mwanamke mmoja kwanini unaita wanaume watoke kwenye majukumu yao ya kutafuta kibunda ili utusumbue tuu na kuturudisha nyuma kiutafutaji?

Na je, umesha jiuliza anayefanya mwanaume asitulie na mwanamke mmoja ni nani?
 
Back
Top Bottom