Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na rafiki usipende akawa na mazoea na mmeoWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Kukosa kujiheshimu tuWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Na wewe ulimkula nani?Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mashemeji wakuda kudadeki
Mashemeji wote motoni
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anisamehe. Niliombwa show na mke wa rafiki , nikapiga.Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k
Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....
Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....
Na huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
MmmmhKuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Shida haipo kwa wanaume kwa sababu ya kuwa na vichwa viwili, shida ipo kwa wanawake , adui wa mwanamke ni mwanamke.Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Na yeye anafuga kiserengeti, kina vindevu Kama Rick rossKama ni mimi naoa beki3 naye alipize.
Umevuta bangi la wapi? 😂😂😂olewa na mwanaume bikra, hayo matatizo hayatokupata
Serious,Umevuta bangi la wapi? 😂😂😂
Kuna mmoja aliambiwa kojoa, akajaza kibwambwa kojo kweli 😂😂😂Serious,
mwanaume bikra sio msumbufu
kumpata sasa😂
Sasa kama unajua hatuwezi kutulia na mwanamke mmoja kwanini unaita wanaume watoke kwenye majukumu yao ya kutafuta kibunda ili utusumbue tuu na kuturudisha nyuma kiutafutaji?Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Niko hapa,Kuna mmoja aliambiwa kojoa, akajaza kibwambwa kojo kweli 😂😂😂