OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Habari ndio hiyoMmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndio hiyoMmmmh
Ulikuwa unafanya jambo la hatari sana Mkuu.Mungu anisamehe. Niliombwa show na mke wa rafiki , nikapiga.
Chanzo jamaa yangu anamaliza wiki ni kula kulala. Lakini anatembeza rungu nje kama chizi. Akiombwa ndani ni dk 5 amesepa.
Mama akitamani anaandaa mazingira ananikonyeza, nampa.
Ndo maisha yetu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Kila kilichoumbwa na Mungu ni chema. Na hizi tabia sio uniform eti kwa vile mumeo yuko hivyo ndio una generalize it's not fair.Mmeumbwaje nyie watu??
Hahaha pole sanaWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
HahahaKuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k
Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....
Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....
Na huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
😅Hahaha
DuuhWanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??
Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
HahahaKuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa