Wanaume njoon mnipe jibu

Wanaume njoon mnipe jibu

Mungu anisamehe. Niliombwa show na mke wa rafiki , nikapiga.

Chanzo jamaa yangu anamaliza wiki ni kula kulala. Lakini anatembeza rungu nje kama chizi. Akiombwa ndani ni dk 5 amesepa.

Mama akitamani anaandaa mazingira ananikonyeza, nampa.

Ndo maisha yetu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Ulikuwa unafanya jambo la hatari sana Mkuu.

Vyema kama ulifanikiwa kumwacha huyo Shemeji yako, maana alikuwa anatengeneza vita ya Tatu ya Dunia.

Mke ana uma Mkuu
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Hahaha pole sana
 
Kuna baadhi ya "mabesti" kama wanaovyoitana Wanawake kuna wakati huwa wana hadithiana vitu vya chumbani. Utasikia hapa sina hata nguvu, Shemeji yenu jana amenipa show hadi leo nimeamka na homa........n.k

Kawaida wengine hupenda kuonja hivyo anavyopewa "besti" ake....

Mwisho wa siku Kipa anatoka golini.....

Na huu mtindo wa kuitana Shemela ndiyo sitaki hata kuusikia, wanaanzaga hivi hivi mwishowe tunda linaliwa.
Hahaha
 
Wanaume nini kinasababisha mwanaume kuchepuka kwa marafiki wa mkeo au majirani waliokaribu na mkeo???
Ni kweli hamuwezi kutulia na mwanamke mmoja lkn kwann usiende mbali?? hivyo si ni kumdharirisha mkeo jaman??? Mmeumbwaje nyie watu??

Mtu mpaka unaogopa kuzoeana na watu hata kutembelewa na ndugu unaogopa vitapitiwa
Duuh
 
Kuchepuka kwa man ni sawa lakini kwa rafiki wa mke/mpenzi au jirani huwa naona ni ukatili mkubwa sana.
Kuna jirani yangu A alikuwa anagonga beki 3 wangu. Mke alivyogundua mchezo akaumia sana, akaniambia kwa nini rafiki yako hajataka hata kutafuta wanawake huko mbali mpaka kunidhalilisha hivi. Yule dada akaamua kulipa kisasi. Akafanywa na jirani yangu B. Ule mtaa ulitutia aibu sana ikaonekana wanaume wote ni mbwa
Hahaha
 
Back
Top Bottom