Wanaume, safisheni nyeti zenu jamani

Pole kwa kupata bwana mchafu.
 
Naanzaje kulinyoa baba zima na ndevu zake?
Honeymoon si iliisha juzi juzi, kwanini baada ya hapo hukumnyoa na kumnunulia kila kitu ukitakacho. kwenye zawadi hukupata aftershavings na vikorombwezo vingine. Monimoni moni unless kuna mtu kakutuma kila mtu humu anajua mwanangu/mdogo wangu uliolewa ulitutangazia sasa tunahisi kitchen party haikufanikiwa. Adios.
 
ndege wafananao huruka pamoja.....jaribu kubadilika utapata wasafi
 
Yule mume wako kicheche ushamuacha sasa umepata mchafu?? Bora uje kwangu maana mimi si mchafu.
 
Dawa ni moja tu wanyoe vuzi lote hadi kwenye anus then wapakae mafuta ya ndimu tatizo loote kwishaa
 

asmaa80;
Ningejua kwako ningeleta posa. Una hekima mpaka baasi. Umempa ushauri toshelezi kabisa na akiufuata hakika hatapata taab yeyote.
Inaonesha huyu monica ana vidume uchwara saana. Alipomlopoa huyu akakuta ni sawa na yule wa juzi na wa jana. Sasa akadhani kila dume ndivyo alivyo. Hapana. Ka uliyempata umeamua kukaa naye, fanya ulivyo shauriwa na huyu "kungwi".
Siwezi kusema k zoote ni mtera kwa sababu ya huyu niliye mbahatisha kwenye kituo cha bus.
 
Monicca mara nafunga ndoa kesho, mara ndoa tamu kila mara baby, mara mbegu zinaniunguza, mara mume wangu anamichepuko mingi, mara wanaume na uchafu sijui kesho utakuja na nini?
 
inawezekana hata wewe ukawa unanuka mdomo au kikwapa na hujijui,sema jamaa hakuaniki tu huku mitandaoni
 
Monicca wewe kila siku unakutana na wanaume wenye kasoro,una mkosiiii?
 
Nimlete Darisalama apambabe na kesi yakeee.,,,,,,Ee moncca uko wapieeeeeee.
 
Na nyinyi kina dadaz kuweni wasafi...aseee.....coz una kuta umemtongoza demu akakubali sasa wakati wa LIGI......nyeti inanuka harufu ya dagaa wabichi....lolh.......xo...in vice versa...na nyie kuweni wasafiiii.....etiiiiiii......
 
"Ntakufanyia msaidizi wako wa kufanana nae....."
 
Huo ugonjwa unaitwa 'pumbuyeye'... Made in Shule za Boarding.
 
Hahaaa handsome kakuponza kufika room ukakuta ni dampo poleee saaaana...... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…